Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Kuna baadhi ya kazi mume wa mtu akiwa anaifanya unaweza mlia mke wake unamfanya kama wako,
Sasa kama hii dereva daladala saa 11 ameshaamka kurudi saa 4 usiku au na zaidi
Sasa huyo mkewe si ndio alikuwa kunda wake
 
Kwanini Yule mchina aliyeuwa mpenzi wake Hadi Leo hajakamatwa? Nashangaa wabongo wakifanya mauaji ni siku 3 Tu ameshadakwa ina maana Yule mchina anajua jinsi ya kukwepa POLISI tofauti na wabongo
Mchina anatembea na dumu la asali anawalambisha tu hawa (honey burgers,) a.k.a nyegere wanavaa miwani ya mbao wanajifanya hawamuoni
 
Umenena bwashee sijui uko wap nikuagizie k-vant kubwa
 
password yangu ni jina lako mwenyewe wewe la kuzaliwa...
We😳 ulibadilisha lini Tena? Mbona uliniambia ukiweka jina la yule aliyekuwa anakutandikia kitanda vyema au ulimkuta kajifunika shuka lako pendwa?🤔
 
Mbona unarudi kulekule kwamba simu ndo tatizo?
 
We😳 ulibadilisha lini Tena? Mbona uliniambia ukiweka jina la yule aliyekuwa anakutandikia kitanda vyema au ulimkuta kajifunika shuka lako pendwa?🤔
Jirani mbona sikumbuki hayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…