Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Mitandao ya kijamii nayo ni shida tupu

Isingekuepo hata mimi ningekuwa mwaminifu kiasi .mfano hapa namcheat wife na binti nilie muona Facebook ni mzuri sana ,mfano mtaani hakuna wa kumfikia wife wala wote ninaowajua wa mkoa huu ila mitandao ya kijamii ilinikutanisha na kiumbe sijawahi ona kabla!

Pia mitandao ya kijamii eg wasap huko ma group mtu anaeza tafutwa na no mpya hata 20 kwa siku wote wakiwa mkoa nae mmoja na kuanza mtxt vishawishi vinaanzia hapo ni tofauti na kipindi haikuepo.. unakuta hata kama ni barabaran anaeza toka week nzima hajatoa namba hivo uwezekano wa kusalitiana unakuwa upo chini sana
 
Hebu tuache utani, mtu unavuta picha Bebi wako kaweka/kawekwa style ya popo kanyea mbingu....utaacha kuua mtu?🀣
Ahahahahahahaaa..!!! Afu anaidai ipelekwe mpaka shinani..!! Unauwa wallah..!! Ukute we mwenyewe hujawahi peana ya hivyo..!!
 
Wenyewe utawasikia.. KITANDA HAKIZAI HARAMU.. Kumbe mtu keshachapiwa hapo
 
Itakuwa hizi style mpya za kufinyia ndani na mlete mzungu ndo zinachangia....zamani ilikuwa kifo cha mende tu🀣
Mlete Mzungu, Kafinyia Ndani, Popo Kanyea Mbingu, ndio mchango wa Nasib Abdul na WACHAFU MEDIA kwenye utamaduni wa Tanzania.

Serikali inamwogopa kwa sababu ndio celebrity wa kimataifa wa kwanza wa historia ya Tanzania.

Mbaraka Mwinshehe, Patrick Balisidya, Marijani Rajabu, Issa Matona, Bi Kidude walibeba bendera ya Taifa kwa taadhima na utauwa lakini hawakuwahi kutumbuiza Marekani, hawakuwa na You Tube followers na walikufa masikini wa kutupwa kwenye viroba.
 
Mlifanya uchunguzi na ufuatiliaji wa haraka mkamkamata mtuhumiwa. Uchunguzi ukikamilika mtamfikisha mahakamani!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…