Ndo nami najiuliza hapa..πFrom nowhere... Dereva anataka kuua polisi... Dah! Lakini maiti hawezi jitetea.
Wanakaa maporini bro Sasa kamera unawekaje katikati ya poriTunataka camera ziweke kila sehemu
Kuna zile body camera mfano askari wa USA huwa wanazivaa, ni nzuri kwa uthibisho wa kile kinacho semwa na maaskari baada ya tukioTunataka camera ziweke kila sehemu
[emoji16][emoji16][emoji16]uko vizuri"Akashuka na kisu akawajeruhi askari watatu"
DHIMA YA MWANDISHI
Mwandishi wa maudhui hii ya kipolis
Ni kuwachora polisi kama viumbe wapole na wastaarabu na wasio na papara
Pia mwandish amemchora marehemu dereva kama kiumbe mwenye wenge, mapepe, asiye na simile wala mswalie Mtume
KUFAULU KWA MWANDISHI
mwandishi hajafauli kabisa andiko lako linatiashaka mwanzo katikati na mwisho
KUFELI KWA MWANDISHI
mwandishi kafeli mwanzo katikati na mwisho ,ameanyosha viashiria vyote muhimu vya uzandiki na ulafi katika hadithi yake
Ikifika Kuupata Ukweli Hizo Camera Tutazificha Haraka Kama Area D DodomaTunataka camera ziweke kila sehemu
Hapo SasaShahidi wa dereva Ni Nani?
Nawajua polisiccm unadhani kwanini HAMZA Watanzania wengi walimuona ni shujaa? Unadhani kwanini polisiccm wanachukiwa sana na Watanzania wengi?
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuwawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinki anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari hao walilikwepa kisha gari likaingia msituni.
Dereva alishuka katika gari na kuwafuata askari hukua askari wakidhani dereva yule ana nia ya kuomba radhi kwa alichokifanya lakini haikuwa hivyo na dereva huyo alitoa kitu mwilini kinachosadikiwa kuwa ni kisu na kuanza kumshambulia askari na kumjeruhi huku akitaka kumnyang'anya silaha lakini askari alifanikiwa kumdhibiti kwa kumpiga risasi.
Askari watatu walijeruhiwa katika tukio hilo.
Sasa Mbona walimuua Floyd na kupo kimya tu??.Kuna zile body camera mfano askari wa USA huwa wanazivaa, ni nzuri kwa uthibisho wa kile kinacho semwa na maaskari baada ya tukio
Ndio maana yake, Mzungu sio mjinga.Kuna zile body camera mfano askari wa USA huwa wanazivaa, ni nzuri kwa uthibisho wa kile kinacho semwa na maaskari baada ya tukio
Lazima Kuna Kitu Kinafichwa
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuwawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinki anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari hao walilikwepa kisha gari likaingia msituni.
Dereva alishuka katika gari na kuwafuata askari hukua askari wakidhani dereva yule ana nia ya kuomba radhi kwa alichokifanya lakini haikuwa hivyo na dereva huyo alitoa kitu mwilini kinachosadikiwa kuwa ni kisu na kuanza kumshambulia askari na kumjeruhi huku akitaka kumnyang'anya silaha lakini askari alifanikiwa kumdhibiti kwa kumpiga risasi.
Askari watatu walijeruhiwa katika tukio hilo.
Shahidi wake ni Mungu.Shahidi wa dereva Ni Nani?