Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

"Akashuka na kisu akawajeruhi askari watatu"
DHIMA YA MWANDISHI
Mwandishi wa maudhui hii ya kipolis
Ni kuwachora polisi kama viumbe wapole na wastaarabu na wasio na papara
Pia mwandish amemchora marehemu dereva kama kiumbe mwenye wenge, mapepe, asiye na simile wala mswalie Mtume

KUFAULU KWA MWANDISHI
mwandishi hajafauli kabisa andiko lako linatiashaka mwanzo katikati na mwisho

KUFELI KWA MWANDISHI
mwandishi kafeli mwanzo katikati na mwisho ,ameanyosha viashiria vyote muhimu vya uzandiki na ulafi katika hadithi yake
 
[emoji16][emoji16][emoji16]uko vizuri
 
Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuwawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki.

Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinki anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari hao walilikwepa kisha gari likaingia msituni.

Dereva alishuka katika gari na kuwafuata askari hukua askari wakidhani dereva yule ana nia ya kuomba radhi kwa alichokifanya lakini haikuwa hivyo na dereva huyo alitoa kitu mwilini kinachosadikiwa kuwa ni kisu na kuanza kumshambulia askari na kumjeruhi huku akitaka kumnyang'anya silaha lakini askari alifanikiwa kumdhibiti kwa kumpiga risasi.

Askari watatu walijeruhiwa katika tukio hilo.
 
This is a cooked story, I dont trust sirro and his henchmen
 
Back
Top Bottom