Dereva wa Mamlaka ya Bandari na wenzake wafikishwa Kizimbani kwa Wizi wa Mafuta lita Milioni 9

Nchi hii mtu akilala anawaza kuiba, akiamka anawaza kuiba tu

But nimependa upigaji wao sio wa laki 5 Wala Mil. 1
 
Msimsingizie, uoigaji ulikoma lini?

Tena kabla yake ndiyo watu walikuwa wanadhulumiwa kimachomacho kabisa. Bila aibu wala uoga.

Rejea sakata la GSM na Makonda.
Ni kweli kwamba sisi waafrika ni wezi, wavivu na wapenda shortcut sana sana, upigaji haujaanza kipindi cha Samia. Ila sasa hivi umezidi na yeye anaonekana yuko happy ili tu awe na uhakika wa kuendelea kuwa rais.
 
Ukute baadhi yao hapo hawana kitu washa T*mbea zote.
Na kesi ya hivyo bila pesa kulimwa mvua ni hakika
 
Hilo la kuiba nimelikubali wabongo wanaiba aisee.
Hao hawajaiba chochote. Inawezekana iko hv;
1. Kuna fitina (Husda)eneo la kazi na hao watajwa wakawa ndo mbuzi wa kafara.
2. Waliobaini au kugundua uwepo wa wizi huo hawana Utaalam au sio Wataalam wa mahesabu ya Mali (Stores) au Wajuvi wa mahesabu ya kifedha.
3. Hilo bomba linalodaiwa kuharibiwa ni bomba hewa - na kama watuhumiwa wakimpata Wakili msomi watachomoa kirahisi mno. Mwizi anaweza kuwa ni Tajiri mwenyewe.
 
Hakuna cha haki hapo, si hao tu.

Mmoja akilambwa risasi watatajana mlolongo mzima.


Siyo huko tu, idara zote za serikali na mashirika yote ya umma kuna wezi.

Wasiojulikana ndiyo ingekuwa kazi yao, kama wao wenyewe siyo wezi.
Hahahaa. Pale mwizi anapewa kazi ya kumkamata mwizi; halafu mwizi anapewa jukumu la kumwadhibu mwizi.
 
Ni kweli kwamba sisi waafrika ni wezi, wavivu na wapenda shortcut sana sana, upigaji haujaanza kipindi cha Samia. Ila sasa hivi umezidi na yeye anaonekana yuko happy ili tu awe na uhakika wa kuendelea kuwa rais.
Mmeshindwa kutiana adabu miaka yote mnategemea nini kutoka kwake?

Wekeni sharia, muone kama kutakuwa na wezi namna hiyo.
 
Kama walijipanga....kwa mzigo wote huo..!! issue ndogo sana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…