Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
We kwel mshangazi 😄Hayo mafuta bora wangempa p didy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kwel mshangazi 😄Hayo mafuta bora wangempa p didy
Unaushahidi?Msimsingizie, uoigaji ulikoma lini?
Tena kabla yake ndiyo watu walikuwa wanadhulumiwa kimachomacho kabisa. Bila aibu wala uoga.
Rejea sakata la GSM na Makonda.
Ngoja tuone.Huu unaonekana ni mtandao wenye mfumo rasmi na wakubwa ndani. Na kesi itaisha hivi hivi wala hutasikia hukumu.
Ni kweli kwamba sisi waafrika ni wezi, wavivu na wapenda shortcut sana sana, upigaji haujaanza kipindi cha Samia. Ila sasa hivi umezidi na yeye anaonekana yuko happy ili tu awe na uhakika wa kuendelea kuwa rais.Msimsingizie, uoigaji ulikoma lini?
Tena kabla yake ndiyo watu walikuwa wanadhulumiwa kimachomacho kabisa. Bila aibu wala uoga.
Rejea sakata la GSM na Makonda.
Hao hawajaiba chochote. Inawezekana iko hv;Hilo la kuiba nimelikubali wabongo wanaiba aisee.
Hahahaa. Pale mwizi anapewa kazi ya kumkamata mwizi; halafu mwizi anapewa jukumu la kumwadhibu mwizi.Hakuna cha haki hapo, si hao tu.
Mmoja akilambwa risasi watatajana mlolongo mzima.
Siyo huko tu, idara zote za serikali na mashirika yote ya umma kuna wezi.
Wasiojulikana ndiyo ingekuwa kazi yao, kama wao wenyewe siyo wezi.
Mmeshindwa kutiana adabu miaka yote mnategemea nini kutoka kwake?Ni kweli kwamba sisi waafrika ni wezi, wavivu na wapenda shortcut sana sana, upigaji haujaanza kipindi cha Samia. Ila sasa hivi umezidi na yeye anaonekana yuko happy ili tu awe na uhakika wa kuendelea kuwa rais.
Kabisa......mali haramu ndio hutumika hivyoBilioni kadhaaa.
Na ajabu hukuti cha maana walichofanya.
Zaidi ya pombe na wanawake.
Ni nyingi sana mkuu, mafuta yanappigwa sana ila hela wanafanyia ujinga ujinga.Litre milioni tisa??
Watu wanapiga sana pesa.. hili jambo liliwahi kuibuliwa na mdau humu 2016 kama sijakoseaNi nyingi sana mkuu, mafuta yanappigwa sana ila hela wanafanyia ujinga ujinga.
Wamepiga sana pesa kwenye mafuta ila ni hatari sana ukikamatwa.Watu wanapiga sana pesa.. hili jambo liliwahi kuibuliwa na mdau humu 2016 kama sijakosea
Kama walijipanga....kwa mzigo wote huo..!! issue ndogo sana hiyo.DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26.
Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni mfanyabiashara Fikiri Kidevu, Amani Yamba, Mselem Abdallah , Kika Sanguti, Twaha Salum, Gaudence Shayo na Hamisi Hamisi, ambao walisomewa mashitaka yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka yao na wakili wa serikali Cathbert Mbilingi ambapo alidai walitenda makosa hayo kati ya Januari mosi mwaka 2019 hadi Desemba 31 mwaka 2022, eneo la Tungi, Kigamboni , Dar es Salaam.
Soma Pia: Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441
Akiwasomea mashitaka hayo ilidaiwa kwamba, wanakabiliwa na mshitaka mawili ya uharibifu wa mali wanayodaiwa kutenda kati ya Januari mosi mwaka 2019 na Desemba 31 mwaka 2022 Kigamboni ambapo waliharibu bomba la kusafirishia mafuta aina ya petroli na Dizel mali ya kampuni ya Tiper.
Nilishangaa kwenye hii ishu mchaga asiwepo.Gaudence Shayo