Describe and explain anything about HIm/HEr

Describe and explain anything about HIm/HEr

ngoja nianze na hawa
Daby huyu mtu nje ya jf anaonekana mtata yaan kama demu umetongozwa nae halaf umemlia hela yake atahakikisha mpk
akukule afidie hasara zake

Stunter aisee huyu chalii anaonekana nje ya jf bonge la msela yaan muhuni flan hivi bangi mkononi mshaelewa mtu wa hivyo yupoje

Sakayo huyu kutokana na nilivyomzoea nje ya jf anaonekana mpole sana tofauti akiwa jf

Daby kwann watu wachache niruhusu bas kesho niendelee niwataje kina Emmyta
 
Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.

Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.

Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.
Nashukuru kwa kutambua uwepo wangu
Asante kwa Hilo hujaenda mbali sana na ukwel kama asilimia 80 hivi
Mie ntaomba kwa Daby niweke watatu humu ndan Badala ya watu wawil na naamin atanielewa
 
ngoja nianze na hawa
Daby huyu mtu nje ya jf anaonekana mtata yaan kama demu umetongozwa nae halaf umemlia hela yake atahakikisha mpk
akukule afidie hasara zake

STUNTER aisee huyu chalii anaonekana nje ya jf bonge la msela yaan muhuni flan hivi bangi mkononi mshaelewa mtu wa hivyo yupoje

Sakayo huyu kutokana na nilivyomzoea nje ya jf anaonekana mpole sana tofauti akiwa jf

Daby kwann watu wachache niruhusu bas kesho niendelee niwataje kina Emmyta

Teh teh ....ungejua mimi kateksta haha.

Emmy hana tatizo najua roho haijamuuma.
 
Back
Top Bottom