EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
onesha nilipotunga ni wapi ?naona umejitungia uelewa.
mkuu unaniangusha, maana hata upagani unaumri mkubwa kuliko hata xmass tunayoijadili achilia mbali hicho unachodhani ni umri wa imani yako.onesha nilipotunga ni wapi ?
kwani historia ya SDA utaificha wapi ambako haitaonekana wala kusomeka ?. au ulishaona wapi mafundisho au imani inakumri mkubwa kuliko muanzilishi wake ?. ni ukoo gani huo ambapo mjukuu anaumri mkubwa kuliko babu yake au famila gani iyo ambayo mtoto anaumri mkubwa kuliko mama yake. nadhani ni huko kwenu tu.
jibu swali acha blablakama bibilia imesema na kufundisha. Ikatokea imani flani ya kidini ikalicompile kama fundisho lao. Litabaki kuwa fundisho la Bibilia kama msingi mkuu. Ila Likichanganyana na hekima yoyote ya kibinadamu nje ya bibilia fundisho hilo linakuwa limenajisika.
huo ndio msingi wa hoja yangu mkuu.
hivyo unakubaliana na mimi kuwa umwilisho ni fundisho la imani kwa sababu imani yote chanzo chake ni biblia hivyo ni la biblia pia au bado unapinga ??? na kusimamia msimamo wako kuwa sio fundisho la imani ila ni biblia ?
sasa tatizo la wewe kulichana andiko la uzi limehamia kwenye ID yake. ID yake inatatizo gani mkuu ?tatizo watu wanaojiita Bigmind huwa wanadhani wanaelewa mapema lkn mara nyingi wanasumbu
siwezi kujibu hilo kwa sababu nyepesi zaidi.jibu swali acha blabla
sio xmas tu bali unaumri mkubwa kuliko hata umri wa BIBLIA yakomkuu unaniangusha, maana hata upagani unaumri mkubwa kuliko hata xmass tunayoijadili achilia mbali hicho unachodhani ni umri wa imani yako.
imani hazipimwi kwa umri bali neno la Mungu.
umequote kuwa nimetoa mambo kwa white sio kwenye bibilia ni vizuri ukathibitisha pia kama utajali lkn
sijaachana na uzi, sasa kama kitu kiko wazi mtu haelewi sio vibaya kutrace chanzo cha tatizo.sasa tatizo la wewe kulichana andiko la uzi limehamia kwenye ID yake. ID yake inatatizo gani mkuu ?
bigmind
maandiko ya ndani ya bibilia ndiyo ninazungumzia sio kitabu, au makisanyo ya kitabu.sio xmas tu bali unaumri mkubwa kuliko hata umri wa BIBLIA yako
haina tatizo. siku ukielewa kwamba biblia ni mapokeo natumaini utakuja kujibu hilo swali. kwa sasa endelea kubaki na akili ya kushindwa kujua mapokeo ni nini, kwa sasa endelea kubaki na akili yavkushindwa kutofautisha kati ya mapokeo na biblia.siwezi kujibu hilo kwa sababu nyepesi zaidi.
imani yako chanzo chake sio bibilia tu.
umenifundisha chanzo chake ni Bibilia, mapokeo matakatifu nje ya bibilia na kauli za kikanisa.
hivyo swali hilo halikusaidii mkuu wewe umeuliza swali ambalo wewe sio mnufaika.
niliomba unionyeshe nilichokuomba. utasaidia pia kwenda sawa.
hajakuelewa kama wewe ambavyo hujauelewa uzi wake. sasa na yeye akianza kuishambulia ID yako mtaishia wapi mkuu ?sijaachana na uzi, sasa kama kitu kiko wazi mtu haelewi sio vibaya kutrace chanzo cha tatizo.
Sasa kwa taarifa yako, kanisa katoliki biblia siyo chanzo pekee cha imani, tunavyanzo vingine zaidi ya vitano.kama bibilia imesema na kufundisha. Ikatokea imani flani ya kidini ikalicompile kama fundisho lao. Litabaki kuwa fundisho la Bibilia kama msingi mkuu. Ila Likichanganyana na hekima yoyote ya kibinadamu nje ya bibilia fundisho hilo linakuwa limenajisika.
huo ndio msingi wa hoja yangu mkuu.
ninazungumzia xmas ya kuzaliwa kristo ndani ya MIOYO na ROHO zetu wakristo wa leo kwa kutukumbusha wajibu na namna itupasavyo kuishi kama wakristo na sio habari za tarehe 25 au xmas ya UBWABWA, MITI nkmaandiko ya ndani ya bibilia ndiyo ninazungumzia sio kitabu, au makisanyo ya kitabu.
Hahahh..! Huyu jamaa atakuwa msabato tu, ni kanisa katoliki pekee lenye theolojia yake ambalo halikopi wala kuazima mafundisho kutoka kwa imani yeyote. Ila wao kila imani ya Kiktisto iwayo duniani inachukua mafundisho ya ukatoliki kwa asilimia 80%+sasa tatizo la wewe kulichana andiko la uzi limehamia kwenye ID yake. ID yake inatatizo gani mkuu ?
bigmind
Mpinga kristo alianza lini?wa kutoamini yale yote yaletwayo na mpinga kristo...
ni msabato mzuri tu nami nampongeza kwa hilo. sababu sote tumeunganishwa kwa damu ya kristoHahahh..! Huyu jamaa atakuwa msabato tu, ni kanisa katoliki pekee lenye theolojia yake ambalo halikopi wala kuazima mafundisho kutoka kwa imani yeyote. Ila wao kila imani ya Kiktisto iwayo duniani inachukua mafundisho ya ukatoliki kwa asilimia 80%+
asante kwa maoni kuwa chanzo cha kanisa katoliki sio bibilia tu.Sasa kwa taarifa yako, kanisa katoliki biblia siyo chanzo pekee cha imani, tunavyanzo vingine zaidi ya vitano.
Tuna kitu tunaita mang'amuzi/mguso (Godly experiences) kwa hili ijapotokea Mungu akanitendea jambo/akanigusa kwa namna ya pekee je, wewe utawezaje kuelezea mguso wa Mungu kwangu?? Hii ni chanzo experience ya watyu hasa watakatifu ambao nje ya hapo maisha yao ni ushuhuda wa imanni yao kwao na kwa watu wengine.
Tunacho chanzo kingine, haya ni mapokeo na hapa watu wengi sana mnachanganya na vitu kama mitaguso, hapa mapokeo ni mambo mengi ambayo yanafanyika kwenye kanisa lakini hayaandikwa wazi au ayakuandikwa kabisa katika biblia ila yalikuwa yanafanywa na mitume. Haya mambo mengi utayapata katika maisha ya watawa na mapadri au katika taratibu za kiibada hasa misa.
Chanzo kingine ni biblia hapa sitaki kueleza panajulikana.
Pia tuna chanzo cha mitaguso/maandiko(charters) zitokanazo na synodes/mikutano ya mama kanisa/uongozii wa kanisa. Kwasasa tuna mitaguso miwili ya kanisa wa kwanza ni ule wa mitume wa Yesu juu ya ufundishaji na uendeshai wa imani/kanisa na wa pili umefanyika miaka ya 1960s. Pia zipo mikutano mingi ya mababa wa kanisa/maaskofu/makadinali wamekaa na kupitisha inaongoza watu/wauminini hasa wakatoliki kuishi imani moja ya kanisa katoliki la mitume. Unaweza soma maandiko mengi sana, ikiwemo kateksimu (mtaala wa mafundisho ya imani katoliki).
Chanzao kingine ni Roho mtakatifu, hili fika linajulikana Yesu mwenyewe amesema kuwa tutapatiwa mwalimu mkuu wa kutufundisha mambo makuu na yeye utata juu ya Mungu sehemu, maandiko mengi yanaelezea uwepo wa Roho Mtakatifu na kazi zake.
Kufikia hapa kwangu huwa nakuona u mchanga sana hasa mtu unayetafuta kukua kiimani huku ukabaki kuamini kwamba is only the bible has and can reveal the God truths..! Huwa nakuona mchanga sana.
ulichojibu na nilichokujibu ulipojivunia umri haviendani.ninazungumzia xmas ya kuzaliwa kristo ndani ya MIOYO na ROHO zetu wakristo wa leo kwa kutukumbusha wajibu na namna itupasavyo kuishi kama wakristo na sio habari za tarehe 25 au xmas ya UBWABWA, MITI nk
sio vizuri kuchangia unachfikiria wewe au kutengeneza wewe na kuuacha au kuuficha uhalisia halisi.
umevunga tu, sio kweli kwamba icho kitu leo ndio unakifahamu leo. unakijua muda mrefu ila kupenda kubishana bishana ndio shida yakoasante kwa maoni kuwa chanzo cha kanisa katoliki sio bibilia tu.
ubarikiwe kwa maelezo