HANGAYA THE CHIEF
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 330
- 962
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule.
naomba kama uko available tuambie tunazipaje, ili siku moja moja tuwe tunatupia kiwalo hicho in memory ya bandari yetu watanganyika
naomba kama uko available tuambie tunazipaje, ili siku moja moja tuwe tunatupia kiwalo hicho in memory ya bandari yetu watanganyika