Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

HANGAYA THE CHIEF

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
330
Reaction score
962
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule.

naomba kama uko available tuambie tunazipaje, ili siku moja moja tuwe tunatupia kiwalo hicho in memory ya bandari yetu watanganyika
 
Back
Top Bottom