antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
- Thread starter
- #41
Daah hatari sana aisee , sema mawazo ya mtu huwezi kuyapingaUnasagiwa tu kunguni kila mahala jamaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah hatari sana aisee , sema mawazo ya mtu huwezi kuyapingaUnasagiwa tu kunguni kila mahala jamaa..
Mia nne kila kitu pamoja na monitor?Bei nimeandika mkuu
Ndio mkuuMia nne kila kitu pamoja na monitor?
Doh.....Ndio mkuu
Pamoja mkuu usiwaze[emoji1666]Doh.....
Imenikutia pabaya mkuu.
Ila utapata tu mteja.
Anaendelea kubishana nae badala tu ya kusema siuzi mil2 nauza bei hii.Hujaelewa anachomaanisha? edit uzi wako ongezea Bei.
Kama hujaandika bei means ni bei yoyote mtu itakayomjia kichwani.....
Bei nimeandika mkuu labda kama hakuonaAnaendelea kubishana nae badala tu ya kusema siuzi mil2 nauza bei hii.
yaani mtu anaogopa tu kutaja bei.
Jamaa kafukuzwa naye anasepa na mali kujilipaHii sio company property kweli?
oky.... ilitakiwa tu umwambie bei nimeweka ni kiasi hiki.Bei nimeandika mkuu labda kama hakuona
Nimeandika 400k , nawezaje kuweka tangazo bila bei
Kama mtu mwenye uzoefu na kompyuta, hiyo bei ni nzuri saana. Kama mtu anaihitaji aichangamkie kabla mwingine hajaibeba. Umetaja mambo mengi muhimu ila kitu moja umesahau. Hiyo kompyuta yako ni brand gani (dell, acer, etc.)?Desktop nzuri na inaukubwa unaofaa Haina shida yoyote bei ni TSH 400,000
Specifications:
1.HDD ZIPO MBILI 500, NA 250=750GB
2. RAM 4GB
3. PROCESSOR : INTEL core i5
4.CPU 3.2GHz
Mawasiliano 0747456177
Location: dar es salaam,tabata
Haina shida yoyote bei ni 400k View attachment 2382863View attachment 2382864
DELLKama mtu mwenye uzoefu na kompyuta, hiyo bei ni nzuri saana. Kama mtu anaihitaji aichangamkie kabla mwingine hajaibeba. Umetaja mambo mengi muhimu ila kitu moja umesahau. Hiyo kompyuta yako ni brand gani (dell, acer, etc.)?
Laki 3 kula cashDELL
Nipigie 0747456177 ila uongeze kidogo mkuuLaki 3 kula cash
Weka location yakoHio bei haipungui wakuu kama Kuna mtu anaweza kunisave Itakuwa poa kikubwa nitatue changamoto inayonikabili kwa Sasa
HDD 750 (Zipo mbili 500gb kwa 250gb)
RAM 4gb (unaweza ongeza Hadi 16)
Core i5
CPU 3.2 GHz
Dell
Haina shida yoyote , mawasiliano
0747456177 ni kwa Leo tu ikipita Leo basi sitauza [emoji4]
View attachment 2391886
Tabata dsmweka location yako
TabataLocation