Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Desktop nzuri inauzwa Ipo dar es salaam

Hujaelewa anachomaanisha? edit uzi wako ongezea Bei.
Kama hujaandika bei means ni bei yoyote mtu itakayomjia kichwani.....
Anaendelea kubishana nae badala tu ya kusema siuzi mil2 nauza bei hii.

yaani mtu anaogopa tu kutaja bei.
 
Anaendelea kubishana nae badala tu ya kusema siuzi mil2 nauza bei hii.

yaani mtu anaogopa tu kutaja bei.
Bei nimeandika mkuu labda kama hakuona

Nimeandika 400k , nawezaje kuweka tangazo bila bei
 
Desktop nzuri na inaukubwa unaofaa Haina shida yoyote bei ni TSH 400,000

Specifications:
1.HDD ZIPO MBILI 500, NA 250=750GB
2. RAM 4GB
3. PROCESSOR : INTEL core i5
4.CPU 3.2GHz


Mawasiliano 0747456177

Location: dar es salaam,tabata

Haina shida yoyote bei ni 400k View attachment 2382863View attachment 2382864
Kama mtu mwenye uzoefu na kompyuta, hiyo bei ni nzuri saana. Kama mtu anaihitaji aichangamkie kabla mwingine hajaibeba. Umetaja mambo mengi muhimu ila kitu moja umesahau. Hiyo kompyuta yako ni brand gani (dell, acer, etc.)?
 
Kama mtu mwenye uzoefu na kompyuta, hiyo bei ni nzuri saana. Kama mtu anaihitaji aichangamkie kabla mwingine hajaibeba. Umetaja mambo mengi muhimu ila kitu moja umesahau. Hiyo kompyuta yako ni brand gani (dell, acer, etc.)?
DELL
 
Watu wengi desktop zimekuwa zikiwapa shida sababu ya kutokuwa na speed au kuload kwa muda mrefu anapofungua files

Hii desktop bado ipo Haina kipengele chochote BEI NI TSH 400,000

Specifications:
1.HDD ZIPO MBILI 500, NA 250=750GB
2. RAM 4GB
3. PROCESSOR : INTEL core i5
4.CPU 3.2GHz





Location: dar es salaam,tabata



Haina shida yoyote bei ni 400k
IMG-20221010-WA0081.jpg
View attachment 2389038
 
Hio bei haipungui wakuu kama Kuna mtu anaweza kunisave Itakuwa poa kikubwa nitatue changamoto inayonikabili kwa Sasa

HDD 750 (Zipo mbili 500gb kwa 250gb)

RAM 4gb (unaweza ongeza Hadi 16)

Core i5

CPU 3.2 GHz

Dell


Haina shida yoyote , mawasiliano

0747456177 ni kwa Leo tu ikipita Leo basi sitauza [emoji4]

View attachment 2391886
Weka location yako
 
Back
Top Bottom