PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.

View attachment 3340898
Mh! ameshasahau kuenguliwa..... kumbe lipuuzi!
 
Kwani kuna mtu au taasisi inayozuia uchaguzi? What if wapiga kura wasipige kura au wasijitokeze? Au what if uchaguzi huo kwa chama fulani kikakataa kupigiwa kura? Ndio dhana yao..yani kama wewe ukisema bila hiki sitakula..kweli hutakula ila wengine watakula
 
Wakuu

Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
hawana agenda naona,Huu mchezo ni mbio ndefu watunze pumzi
 
Huyu mama azungumzie agenda za chama chake, ajitahidi kuachana kusemea au kujibu agenda za Chadema.

Vv

Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.

Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.

Huelewi wapi?

CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
 
we tunakufahamu,wakifika mwezi wanane washukuru
 
Jadili hoja, usinijadili mimi.

Kunijadili mimi badala ya hoja ni logical fallacy.

Ad hominem fallacy.

Sijasema watafika au hawatafika mwezi wa nane.

Hiyo ni logical fallacy nyingine.

Logical non sequitur fallacy.
 
Wakuu

Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
Kwahiyo wanapambana na CHADEMA!? Okay, tunashukuru wanajianika wenyewe!
 
Wakuu

Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
RUSHWA NI ADUI WA HAKI, ASALI NI TAMUU JAMANI ILA WANANCHI NAAMINI HAWATAENDA KUPIGA KURA
 
Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.

Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.

Huelewi wapi?

CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
 
Sisi wapiga kura tunataka sera za kimaendeleo, sio kujadili mapungufu! Kujadili mapungufu hakuboreshi ustawi wa mwananchi wala nchi kwa ujumla.
 
Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
Hapana.

Kama kuna chama cha upinzani ni cha kikomunisti kinapinga ubepari, halafu kuna chama kingine cha upinzani cha ubepari, by default chama cha ukomunisti kikitangaza ajenda zake za ukomunisti zinazopingana na ubepari, kitakuwa kimepinga chama kingine cha upinzani cha ubepari.

Usikioangie chama cha siasa nini cha kusema. Wewe sema unavyotaka.

This is a free country.
 
Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
Devota azungumzie sera ya ubwabwa kuonyesha anaifahamu. Mwenyekiti wake ameweka framework ya hotuba zinazofuata hajaweka suala la no reform/ no election.tatizo la kumridhisha tajiri aliyewalipa pesa ndiyo shida.
 
Back
Top Bottom