Hapana.Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Yeye anazungumzia mapungufu ya CHADEMA, ili iweje; wananchi wakipe chama chake CHAUMMA kura za kuiondoa CCM madarakani? CHADEMA inawazuia vipi CHAUMMA kushika mamlaka?