This logical fallacy is called ad hominem.Hujajenga zaidi ya upuuzi
CHAUMA wanatakiwa kujibu ajenda za CCM, sio za CHADEMA.Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Alikuwa anatishia tu.Muasisi wa no reforms no elections anapojitoa ufahamu 🤣🤣
CHAUMMA inawezekana wana mapungufu wengi.Kama nimekuelewa hivi expert wangu
Hata watu kupinga CHAUMA kuishambulia CHADEMA ni haki yao ya kikatiba, huwezi kuwazuia.Unachofikiri wewe si muhimu.
CHAUMMA wanatumia haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kupambana na yeyote wanayeona wanataka kupambana naye.
Na hilo halitegemei unachofikiri wewe.
Usijipe umuhimu sana wewe kwenye haki za kikatiba za watu wengine.
Si lazima kueleweka na kila mtu.Ili ueleweke hayo maandishi yako ya kiebrania yaweke kwa lugha ya kiswahili. Acha maneno mingimingi.
Naomba tu usihamishe hoja. Weka tu maneno yako kwa kiswahili
Matumizi mazuri ya pesa za Abdul mtoto wa MazaKwahiyo wanapambana na CHADEMA!? Okay, tunashukuru wanajianika wenyewe!
Matizo yako wewe na Watanzania wengi kama wewe ni haya.Maana kusema kuwa changamoto ya wananchi ni vyama visivyo madarakani ni hoja inayotishia ustawi, haki na democracy nchini ina mashiko nina wasiwasi na integrity yako. Siyo mtu wa kuaminika katika jamii, simply ni G55 wenye akili mgando za fedha na tumbo, you might be one of them
Kwani sasa hapa unafanya nini?Si unamshambulia mpinzani mwenzako?Au na nyie ni pandikizi?Ndio tatizo lenu mnajinadi kuwa nyinyi pekee yenu ndio wapinzani. Wengine wote ni mapandikizi wakijibu mnawasingizia kununuliwa Jibu hoja kuna Chama kiliwahi kusimamisha uchaguzi?Hii ndio hoja sio kumshambulia aliyeleta hoja.Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
Hapana, huna haki ya kuwapangia CHAUMMA wajibu ajenda za nani.CHAUMA wanatakiwa kujibu ajenda za CCM, sio za CHADEMA.
Sijawazuia, nasema ni ujinga tu.Hata watu kupinga CHAUMA kuishambulia CHADEMA ni haki yao ya kikatiba, huwezi kuwazuia.
sasa ccm si ni chama kilichopp madarakani? lazima mapungufu yao na ujinga mwingine wanaofanya kuharibu nchi viongelewe, thats why ni jukumu la vyama pinzani kuonesha jinsi walioko madarakani wana haribu na watoke wapishe nchi iendeshwe na sera zingine.Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Hawajawazuia CHAUMA kuzungumza chochote, wamekosoa mkakati wao wa kushambulia chama kingine cha upinzani.Sijawazuia, nasema ni ujinga tu.
Hutakiwi kusema ni haki yako ya kidemokrasia kuzuia watu wengine kutumia haki yao ya kidemokrasia.
Kwa sababu dhana hiyo ni contradiction itakayofungua mlango wa wewe mwenyewe kuzuiwa kutumia haki yako ya kidemokrasia.
Halafu CCM ikikuvunjia haki zako za kidemokrasia utalalamikaje hapo?
Hiyo no. 2 inakuhusu wewe, hivi ulitumia vigezo gani kusema mimi ni CHADEMA au Kuwa na mahaba na hiko chama!? Unaweza kuthibitisha!? Ndio maana nasema uwezo wako ni mdogo sana hasa katika masuala ya kisiasa na kijamii.Matizo yako wewe na Watanzania wengi kama wewe ni haya.
1. Hamna nuance. Hamuwezi kuchambua mambo kwa kina mnataka broad brushes, simple stories, all or nothing at all, false dichotomies, na contradictions zote zinazoendana na ujinga huo.
2. Hamuwezi kufanya abstract thought. Fijra dhahania. Hamjui kuwa mtu anaweza kutetea hoja ya chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani bila kutetea chama chochote. Mshaziea siasa za vikumbo vya kugombania kuingia kwenye daladala. Siasa za kuangakia watu na vikundi, si za kuangalia hoja. Ndiyo maana huamini kuwa inawezekana kupishana na mtu hoja tu bila ya huyo ntu kuwa G55.
G55 inanihusu nini mimi?
Suala siyo hawaruhusiwi kushambulia chama kingine cha siasa, suala ni DHAMIRA.Kitu kuonekana kuwa kweli haimaanishi ni kweli.
Nyota nyingi zinaonekana kuwa zipo kweli lakini kiukweli hazipo, zikishatiweka mamikioni ya miaka iliyopita.
Sasa wewe kama unatafuta kweli kwa kuangalia muonekano tu, utajuaje huo ni muonekano wa kweli lakini si kweli, au ni muonekano wa kweli unaotikana na ukweli?
Jana CHADEMA wamelialia sana kwa sababu Peter Madel3ka kahamia ACT Wazalendo, kwa sababu hii hii ya kwenda kw amihemuko ya "muinekano wa kweli" bila critical analysis.
Chama cha upinzani kina haki ya kikatiba ya kufanya siasa ya kushambulia chama chochote, tawala au cha upinzani.
Wewe ukiwa mfuasi wa demokrasia unatakiwa uelewe hilo.
Ukishindwa kukiachia chama cha upinzani kushambulia chama chochote umeshindwa demokrasia.
Huna haki ya kukipangia chama cha upinzani kipinge nini.sasa ccm si ni chama kilichopp madarakani? lazima mapungufu yao na ujinga mwingine wanaofanya kuharibu nchi viongelewe, thats why ni jukumu la vyama pinzani kuonesha jinsi walioko madarakani wana haribu na watoke wapishe nchi iendeshwe na sera zingine.
Sasa chama kingine pinzani badala ya kuongelea mapungufu ya ccm walioko madarakani ili waujulishe umma sera zao wazikubari, wao wanaongelea sera za wapinzani wenzao chadema. Tukisema ni ccm iliojivika ngozi ya chui ili wawavunje nguvu chadema sababu wana sera zenye nguvu tutakua tunakosea?
Huo mkakati wao wa kushambukia chama kingine cha upinzani ni haki ya CHAUMMA ya kidemokrasia.Hawajawazuia CHAUMA kuzungumza chochote, wamekosoa mkakati wao wa kushambulia chama kingine cha upinzani.
UnalazImisha CHAUMMA wasikikosoe CHADEMA, jambo ambalo ni haki yao ya kikatiba na kidemokrasia.Hiyo no. 2 inakuhusu wewe, hivi ulitumia vigezo gani kusema mimi ni CHADEMA au Kuwa na mahaba na hiko chama!? Unaweza kuthibitisha!? Ndio maana nasema uwezo wako ni mdogo sana hasa katika masuala ya kisiasa na kijamii.
Ni ya wajinga wachache wanaojiona Wana akili kumbe Bure. Hao ndio g55Matizo yako wewe na Watanzania wengi kama wewe ni haya.
1. Hamna nuance. Hamuwezi kuchambua mambo kwa kina mnataka broad brushes, simple stories, all or nothing at all, false dichotomies, na contradictions zote zinazoendana na ujinga huo.
2. Hamuwezi kufanya abstract thought. Fijra dhahania. Hamjui kuwa mtu anaweza kutetea hoja ya chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani bila kutetea chama chochote. Mshaziea siasa za vikumbo vya kugombania kuingia kwenye daladala. Siasa za kuangakia watu na vikundi, si za kuangalia hoja. Ndiyo maana huamini kuwa inawezekana kupishana na mtu hoja tu bila ya huyo ntu kuwa G55.
G55 inanihusu nini mimi?