Wewe lini umesikia CHADEMA kinaijadili sera ya CHAUMA ya ubwabwa? Au ni bonge la sera Hilo?
Mkuu huwezi kupingisha kweli kwamba adui mkubwa kwa watawala ni Lissu na CHADEMA, Sheria, kanuni hata mahusiano ya kimataifa yankiukwa kwa sababu ya Lissu. Na sababu hoja zake zinatishia uwepo wao madarakani kinyume na kanuni.
CHAUMA na ubwabwa lini imewahi kuwa tishio? CHADEMA wametekwa, wamepotezwa, wameuawa, viongozi kufunguliwa kesi za kisiasa ili kuwadhibiti wasitoe upinzani, siyo chama cha ubwabwa, kuwatetea wanye sera za kuwapinga CHADEMA ni pandikizi na chama chenyewe ni pandikizi la watawala. Period