PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sisi wapiga kura tunataka sera za kimaendeleo, sio kujadili mapungufu! Kujadili mapungufu hakuboreshi ustawi wa mwananchi wala nchi kwa ujumla.
Hakuna sera ya maendeleo isiyojadili mapungufu.

Maendeleo maana yake ni kuangalia mapungufu na kuyaondoa.
 
Mapungufu ya chama chochote kisicho madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi!
Sasa kama changamoto za wananchi ni pamoja na mapungufu ya vyama vya siasa visivyo madarakani utasemaje mapungufu ya chama chochote kisicho madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi?

Pia, huwezi kufanya fikra dhahania kuona kuwa siasa ni pamoja na mijadala ya hoja, na ya vyama tofauti vya upinzani vinaweza kukinzana kihoja na kujadili hizo tofauti za hoja ili wananchi wajue misimamo ya vyama tofauti vya upinzani ikoje ili kujua vizuri wajiunge na chama gani?
 
Rudia tena kusoma comment yangu ndg, nimesema hivi "mapungufu ya chama chochote ambacho hakiko madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi"
 
Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.

Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.

Huelewi wapi?

CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Unayeshindana naye ndio utayaona mapungufu yake na kuyasemea.

Naoana hao Chaumma wanashindana na Chadena badala ya kushindana na chama kilichopo madarakani
 
Rudia tena kusoma comment yangu ndg, nimesema hivi "mapungufu ya chama chochote ambacho hakiko madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi"
Rudia tena kusoma comment yangu, au pengine niseme, soma tena comment yangu kwa ufahamu.

Nimeandika hivi.

Sasa kama changamoto za wananchi ni pamoja na mapungufu ya vyama vya siasa visivyo madarakani utasemaje mapungufu ya chama chochote kisicho madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi?

Pia, huwezi kufanya fikra dhahania kuona kuwa siasa ni pamoja na mijadala ya hoja, na ya vyama tofauti vya upinzani vinaweza kukinzana kihoja na kujadili hizo tofauti za hoja ili wananchi wajue misimamo ya vyama tofauti vya upinzani ikoje ili kujua vizuri wajiunge na chama gani?
 
Wakuu

Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
Wamehama bila ya kuongeza za kwao baada za kupewa za kuambiwa..😅
 
Unayeshindana naye ndio utayaona mapungufu yake na kuyasemea.

Naoana hao Chaumma wanashindana na Chadena badala ya kushindana na chama kilichopo madarakani
CHAUMMA wanatakiwa kushindana na vyama vyote vya siasa.

Kuna mtu anatafuta chama cha siasa cha kujiunga nacho, anaangalia vyama vyote apate chama cha kujiunga nacho.

Kwa nini unafikiri CHAUMMA wanatakiwa washindane na chama kilichopo madarakani tu?
 
Hili lishangazi lijinga kweli kweli, yaani ni wapi Chadema wamesema watazuia uchaguzi? Dhima ya Chadema ni kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kuwa na uchaguzi huru na wa haki, na wananchi watachagua wao, wapige kura au wasipige na wasipopiga kura hapo ndipo nguvu ya wananchi itaonekana na hapo watakuwa wamezuia uchaguzi
 
Sasa uchaguzi unaibiwa mchana kweupe huo mchezo anaouongelea ni mchezo gani?
 
Bado anateswa na mzimu wa alikotoka. Ajikite kwenye sera za chama chake, na sio kufafanua sera za chama kingine. Wenye sera yao ndio wanayo maono ya namna wataifanya sera yao fanikiwe. Vipi kama wapo tayari kwa vita
 
Rudia tena kusoma comment yangu, au pengine niseme, soma tena comment yangu kwa ufahamu.

Nimeandika hivi.

Sasa kama changamoto za wananchi ni pamoja na mapungufu ya vyama vya siasa visivyo madarakani utasemaje mapungufu ya chama chochote kisicho madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi?

Pia, huwezi kufanya fikra dhahania kuona kuwa siasa ni pamoja na mijadala ya hoja, na ya vyama tofauti vya upinzani vinaweza kukinzana kihoja na kujadili hizo tofauti za hoja ili wananchi wajue misimamo ya vyama tofauti vya upinzani ikoje ili kujua vizuri wajiunge na chama gani?
Kwa mtazamo wa kisiasa na kijamii, kwa hoja kwamba mapungufu ya chama cha upinzani hayahusiani moja kwa moja na matatizo ya wananchi, hasa kwa sababu;

Chama cha upinzani hakina mamlaka ya kuamua sera, bajeti, au kutumia rasilimali za taifa. Mamlaka haya yako mikononi mwa chama kilicho madarakani, ambacho kina dhamana ya kuongoza, kusimamia uchumi, kutoa huduma za jamii, na kutatua matatizo ya wananchi.

Chama cha upinzani kazi yake kubwa ni kutoa hoja mbadala, kushauri, na kusimamia utawala uliopo. Kwa hiyo mapungufu ya chama hiki hayawezi kuwa chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi, kwani si wao wanaotekeleza sera au mipango ya maendeleo.

Hivyo, lawama au shutuma kwa upinzani kuhusu matatizo ya wananchi mara nyingi ni mbinu za kisiasa za kutaka kuficha au kupunguza uwajibikaji wa walio madarakani.

Hata hivyo, chama cha upinzani kina wajibu wa kuwa imara, kuelimisha jamii, kushiriki mijadala ya kitaifa, na kutoa mwelekeo wa kisera mbadala. Udhaifu wao unaweza kuwa kikwazo cha mabadiliko ya kisiasa au kijamii, lakini si chanzo kikuu cha matatizo ya kila siku ya wananchi kama njaa, umaskini, au ukosefu wa huduma bora
Hoja yangu ni kwamba matatizo ya wananchi hoi yanapaswa kubebeshwa walio madarakani, si chama cha upinzani ambacho hakina uwezo wa kiutendaji moja kwa moja.
 
Kama chama cha upinzani A kukitoa chama tawala madarakani chama hicho cha upinzani A kinahitaji wafuasi wengi wa kukipigia kura, na kinaweza kupata wafuasi hao kutoka chama kingine cha upinzani B, then it makes sense chama A cha upinzani kukipinga chama B cha upinzani na kuvutia wafuasi kutoka upinzani (chama B).

Huelewi wapi?
 
Back
Top Bottom