PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unapotosha kusema CHADEMA wanaingilia CHAUMA, Kwa siasa za Tanzania CHADEMA haiwezi kuingilia CHAUMA ila CHAUMA inaweza kuingilia CHADEMA kama mmoja wa makada wake alivyoshirikiana na msajili kutengua wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA.
Ukishasema CHAUMMA hawatakiwi kuisema CHADEMA wanatakiwa kuisema CCM ushaingilia uhuru wa CHAUMMA kuamua wamseme nani.

Huelewi wapi?
 
Huwezi kuelewa kwa sababu hutaki kuelewa, hawapingi haki ya CHAUMA kuipinga CHADEMA, that's their rights. Ila tunakushangaa wewe CHADEMA wanapojibu hoja zao CHAUMA na sababu za kupingwa nao wewe hutaki, je kwa akili yako CHADEMA hawaruhusiwi kujitetea?

Tatizo lako nini hapa?
Watu wamesema CHAUMMA haitakiwi kuipinga CHADEMA inatakiwa kuipinga CCM.

Nukuu zipo kibao hapa kama unataka twende kwa nukuu.

Hapo wameshapinga haki ya CHAUMMA kuipinga CHADEMA.

Mimi natetea haki ya chama cha upinzani kukip8nga chama kingine cha upinzani, hivyo ninetetea hata haki ya CHADEMA kupinga CHAUMMA, kujitetea kwenye hoja za CHAUMMA.

Wanaosema chama cha upinzani hakitakiwi kupingana na chama kingine cha upinzani, kwa kutaka kukataa CHAUMMA kisiipinge CHADEMA, ndio wamejiingiza katika mtego wa kuilazimisha CHADEMA isijitetee kujibu hoja za CHAUMMA, kwa kutumia kanuni yao hiyo hiyo ya "chama cha upinzani hakitakiwi kukipinga chama cha upinzani kingine".
 
Hakuna popote niliposema CHAUMMA ni pandikizi au si pandikizi.

That logical fallacy is called strawman argument.

It is also a logical non sequitur fallacy.

Whether CHAUMMA ni pandikizi au si pandikizi is immaterial.

CHAUMMA wana haki ya kikatiba na kidemokrasia kuipinga CHADEMA, whether CHAUMMA ni pandikizi au si pandikizi.

Wapingeni CHAUMMA kwa hoja, msitake kuwanyamazisha wasiiseme CHADEMA na kuwapangia waiseme CCM.
Na CHADEMA wanajibu hoja za CHAUMA kuwapinga ukiamzia na history za hao wapingaji?

Kwa maana kundi lililoingia na kuanza kuwapinga lilitokana na kundi walilokuwa wanshindana kwenye uchaguzi wa CHADEMA, na kule walituhumiwa kuhusika na pesa chafu kutoka kwa watawala.

Wote waliokuwa wanazungumza lugha mojo ya no reform no election, lakini iweje baada ya kushindwa wajitoe na wawndeleze kuwapinga tena kwenye mkutano wao ambako watu walitegemea wasikie sera zao?

Kimsingi hata mimi nakishangaa wewe kuona kwamba CHADEMA Haina haki ya kuwachambua na kuwapinga mama toka mwanzo walionekana kufadhiliwa na watawala
 
Kwanza kabisa sichambui CHAUMMA wala CHADEMA.

Nachambua hoja ya kidhahania ya chama cha upinzani kuwa na haki ya kupingana na vyama vingine vya upinzani.

Tatizo lako huwezi kufanya mjadala huo wa kidhahania, umeishia kuchambua vita vya CHAUMMA na CHADEMA.
Achana na mambo dhahania, ongelea vitu vyenye uhalisia kulingana na mazingira halisi ya nchi.
Kwa nini CHAUMA iishambulie CHADEMA badala ya kupambana dola iache kuiminya CHADEMA??
 
Watu wamesema CHAUMMA haitakiwi kuipinga CHADEMA inatakiwa kuipinga CCM.

Nukuu zipo kibao hapa kama unataka twende kwa nukuu.

Hapo wameshapinga haki ya CHAUMMA kuipinga CHADEMA.
Kuna legal rights ambazo hazipingiki Wana haki ya kupinga, kinachojadiliwa hapa ni kwa vipi wapinzani siku ya kwanza ya mkutano wao wajikite kupinga CHADEMA?

Wapi imesemwa wamevunka Sheria na katiba na uhuru? Hoja ni kuwa wamepinga kwa sababu ni mapandikizi,siyo wamevunja Sheria. Hebu nionyeshe yeyote aliyesema kuwa wamevunja Sheria ipi ya vyama vya siasa?
 
Na CHADEMA wanajibu hoja za CHAUMA kuwapinga ukiamzia na history za hao wapingaji?

Kwa maana kundi lililoingia na kuanza kuwapinga lilitokana na kundi walilokuwa wanshindana kwenye uchaguzi wa CHADEMA, na kule walituhumiwa kuhusika na pesa chafu kutoka kwa watawala.

Wote waliokuwa wanazungumza lugha mojo ya no reform no election, lakini iweje baada ya kushindwa wajitoe na wawndeleze kuwapinga tena kwenye mkutano wao ambako watu walitegemea wasikie sera zao?

Kimsingi hata mimi nakishangaa wewe kuona kwamba CHADEMA Haina haki ya kuwachambua na kuwapinga mama toka mwanzo walionekana kufadhiliwa na watawala
Watetezi wa CHADEMA walikuwa wanasema CHAUMMA haitakiwi kuisema vibaya CHADEMA, inatakiwa iiseme vibaya CCM.

This is censorship. This is anti democracy.

Mimi natetea chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani.

Natetea CHAUMA kupingana na CHADEMA, CHADEMA kujibu hoja za CHAUMMA.

Kwa sababu kanuni yangu ya msingi ni kuwa chama cha upinzani kina haki ya kukipinga chama kingine cha upinzani, kina haki ya kujibu hoja za chama kingine cha upinzani.

Sasa hapo nimekataaje CHADEMA kuipinga CHAUMMA?
 
Kwanza kabisa tumalize mjadala mmoja kabla ya kuurujia mwingine.

Umekubali kimsingi kwamba CHAUMMA wana haki ya kuipinga CHADEMA? Kuwa hii ni haki yao ya kidemokrasia na kikatiba? Kuwa chama cha upinzani hakitakiwi kupangiwa kipinge nini?
Na sijawahi kusema kuwa CHAUMA wamevunja katiba kwa kuipinga CHADEMA
 
Na sijawahi kusema kuwa CHAUMA wamevunja katiba kwa kuipinga CHADEMA
Kwani nani kasema umesema CHAUMA wamevunja katiba kwa kuipinga CHADEMA?

Umeelewa hata hoja yangu ni ipi?
 
Watwtwzi wa CHADEMA walikuwa wanasema CHAUMMA haitakiwi kuisema vibaya CHADEMA, inatakiwa iiseme vibaya CCM.

This is cwnsorship. This is anti democracy.

Mimi nateteq chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani.

Natetea CHAUMA kupingana na CHADEMA, CHADEMA kujibu hoja za CHAUMMA.

Kwa sababu ka uni yangu ya nsingi ni juwa chama cha upinzani kina haki ya kukipinga chama kingine cha uoinzani, kina haki ya kujibu hoja za chama k8ngine cha upinzani.

Sasa hapo nimekataaje CHADEMA kuipinga CHAUMMA?
Sawa mkuu, na mimi hoja yangu ni kuwa CHAUMA kina haki wakiamua kuipinga CHADEMA ila kimsingi wa vyama vya upinzani ni kuipinga serikali iliyo madarakani.

Na sidhani kama kuna mtu amesema kuwa CHAUMA wamevunja katiba, nionyeshe? Ila wameishitumu kuwa ni pandikizi la CCM, hapo ndipo msingi wa hoja, mengine ni exaggeration zako kujenga uhalali wa CHAUMA kufanya KAZI ya CCM
 
Kwani nani kasema umesema CHAUMA wamevunja katiba kwa kuipinga CHADEMA?

Umeelewa hata hoja yangu ni ipi?
Haki ya CHAUMA kuipinga CHADEMA maana haki ya chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani
 
Huwezi kuelewa kwa sababu hutaki kuelewa, hawapingi haki ya CHAUMA kuipinga CHADEMA, that's their rights. Ila tunakushangaa wewe CHADEMA wanapojibu hoja zao CHAUMA na sababu za kupingwa nao wewe hutaki, je kwa akili yako CHADEMA hawaruhusiwi kujitetea?

Tatizo lako nini hapa?
Unazungumza na chizi niamini mm
 
Sawa mkuu, na mimi hoja yangu ni kuwa CHAUMA kina haki wakiamua kuipinga CHADEMA ila kimsingi wa vyama vya upinzani ni kuipinga serikali iliyo madarakani.

Na sidhani kama kuna mtu amesema kuwa CHAUMA wamevunja katiba, nionyeshe? Ila wameishitumu kuwa ni pandikizi la CCM, hapo ndipo msingi wa hoja, mengine ni exaggeration zako kujenga uhalali wa CHAUMA kufanya KAZI ya CCM

Wapi nimesema CHAUMA wamevunja katiba? Why is this even a question?

Hiyo hoja ya "kimsingi wa vyama vya upinzani ni kuipinga serikali iliyo madarakani".

Kwanza kabisa, tumeona chama cha upinzani kina haki, uhuru, kikatiba, kidemojrasia, kuamua kimpinge nani. ACT wameamua mpaka kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar, hiwever of a charade that is is not the point.

Pili, huna haki ya kukiamulia chama cha upinzani kitumie strategy gani. Pengine chama cha upinzani kinaona njia nzuri kabisa ya kukipinga chama tawala ni kujiimarisha kwenye upinzani kwa kupingana na vyama vingine vya upinzani mpaka kionekane bora, halafu mnyukano huo katika upinzani utakiongezea wafuasi na wanachama, na ongwzeko hilo ndilo litakalokipa chama hicho nafasi nzuri ya kukikabiki chama tawala.

Sasa kwa nini mnataka kukipangia CHAUMMA kianze kuishambulia CCM? Kwa nini watu msio CHAUMMA mnataka kuipangia strategy CHAUMMA wakati CHAUMMA yenyewe inajua ina strategy gani?
 
Haki ya CHAUMA kuipinga CHADEMA maana haki ya chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani
Naaam.

Kwa nini haki hii ya wazi kabisa, ya kidemokrasia, ya kikatiba, ambayo by the way ndiyo haki hiyo hiyo inayowapa nafasi CHADEMA kuijibu CHAUMMA na kupangua hoja zao, na kuonesha kuwa CHAUMMA ni mapandikizi tu , inawapa tabu sana watu wa CHADEMA wanaosema CHAUMMA haitakiwi kuisema vibaya CHADEMA, wanatakiwa kuisema vibaya CCM tu?
 
HUyo bi mkubwa vipi¿ kahamia kwa bwana mpya lakini kutwa kumuongelea x wake.Pathetic
 
Kwani kuna mtu au taasisi inayozuia uchaguzi? What if wapiga kura wasipige kura au wasijitokeze? Au what if uchaguzi huo kwa chama fulani kikakataa kupigiwa kura? Ndio dhana yao..yani kama wewe ukisema bila hiki sitakula..kweli hutakula ila wengine watakula
Hiki unachokizungumza wanakielewa vizuri sana.

Ila wanakomaa kupotosha kwa maksudi tu. Kazi yao ni kupotosha tu.
 
Back
Top Bottom