The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mh! ameshasahau kuenguliwa..... kumbe lipuuzi!Wakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
hawana agenda naona,Huu mchezo ni mbio ndefu watunze pumziWakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
Huyu mama azungumzie agenda za chama chake, ajitahidi kuachana kusemea au kujibu agenda za Chadema.
Vv
we tunakufahamu,wakifika mwezi wanane washukuruMimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Jadili hoja, usinijadili mimi.we tunakufahamu,wakifika mwezi wanane washukuru
huna hoja naona kioja na u-fallacy wakoJadili hoja, usinijadili mimi.
Kunijadili mimi badala ya hoja ni logical fallacy.
Ad hominem fallacy.
Sijasema watafika au hawatafika mwezi wa nane.
Hiyo ni logical fallacy nyingine.
Logical non sequitur fallacy.
This is also an ad hominem fallacy.huna hoja naona kioja na u-fallacy wako
Kwahiyo wanapambana na CHADEMA!? Okay, tunashukuru wanajianika wenyewe!Wakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
RUSHWA NI ADUI WA HAKI, ASALI NI TAMUU JAMANI ILA WANANCHI NAAMINI HAWATAENDA KUPIGA KURAWakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikiziMimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Sasa hivi kazi yao ni kudandia ajenda za wengineNdiyo ajenda yao?
Sisi wapiga kura tunataka sera za kimaendeleo, sio kujadili mapungufu! Kujadili mapungufu hakuboreshi ustawi wa mwananchi wala nchi kwa ujumla.Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Hapana.Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
Devota azungumzie sera ya ubwabwa kuonyesha anaifahamu. Mwenyekiti wake ameweka framework ya hotuba zinazofuata hajaweka suala la no reform/ no election.tatizo la kumridhisha tajiri aliyewalipa pesa ndiyo shida.Ni ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi