PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Heche hana hekima anazurura na kuchangisha wananchi na mabakuli badala yakuweka chama pamoja waset mipango inayoeleweka.
 
Kwahiyo unaona bora kukimbia,kukimbia ni dalili ya woga na usaliti.
 
Kwa hiyo hilo jambo ulishindwa kulifikisha kwa utaratibu maalum uliopo ndani ya Chama chenu hadi uite press conference?
 
Mtasema hoja zote lakini hamtafanikiwa.
 
Mshana Jr kuna shida pahala! Si kawaida
 

Chama wamepewa vichaa
 
Nadhani hii ndio sababu ya kipumbavu zaidi tangu wanaojiuza waanze
 
Mshana Jr kuna shida pahala! Si kawaida
Shida ni wrong timing ya kufanya uchaguzi wa chama mwaka wa uchaguzi mkuu.

Hata angeshinda Mbowe wapambanaji wangehama Chadema wangemuacha Mbowe na wapiga deal wenzake waendelee kupakana lipstic na ccm.

Lakini kwakuwa umeshinda upande ambao uko serious kweli na siyo kutamani Ubunge tu, basi wacha makapi yote yaondoke chama kibaki clean.

Matumaini ya Watanzania yamebebwa na Chadema, hao wote waliohama hakuna anayefikia mvuto na ushawishi wa Dr Slaa lakini alipohama Chadema Watanzania walimpuuza tu hatimaye amerudi kundini where he belongs.
 
chadema imekwisha sasa wqtu muhimu wote wanatoka chamani heche atahenya mwaka huu pekeyake
Hawa wachumia tumbo wanaondoka kimkakati ili kutoa taswira kama hii kwa wananchi kwamba Chadema watu wanaisha.

Hiyo ni mbinu dhaifu na ya kijinga sana.
Uzuri ni kwamba uelewa wa wananchi ni mkubwa sana, wanajua kutofautisha mchele na pumba.
 
Propaganda za,kipuuzi mno... Hivi ccm haioni aibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…