PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa

"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."

"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja

View attachment 3334695
Maji yanazidi kujitenga na mafuta, haya tangulieni mkamuandalie Mangi Mkuu Mbowe makao huko Chauma, ila mjue umma wa Watanganyika umewadharau sana.
 
chadema imekwisha sasa wqtu muhimu wote wanatoka chamani heche atahenya mwaka huu pekeyake
Cha ajabu ma Ccm ndiyo yanaumia zaidi. Acha watoke waende huko wanapoona panawafaa, ni haki yao
 
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa

"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."

"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja

View attachment 3334695

Ndo. Maana mnalalamika Kwa sababu mlitaka vikao mje kuvuruga Mambo!
 
Tundu Lissu na heche shililieni hapo hapo.

Kuna makakati wameanza na kudeal ma kiongozi mmoja mmoja personally.

Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom