Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Mkuu hizi pimbi zinachosha sana hii nchiHahaha na wewe Crimea?

Yaani Nchi badala ifanye vitu vya maana wamekalia mambo yasiyofaaa......mwisho wa siku miaka inaenda tuko pale paleMkuu hizi pimbi zinachosha sana hii nchi
Kwahiyo ulitaka chama kiendelea na mwenyekiti ambaye ni kibaraka wa Fisiemu?Heche hana hekima anazurura na kuchangisha wananchi na mabakuli badala yakuweka chama pamoja waset mipango inayoeleweka.
Majina yanayotoka ni yale yale ya kaskazini😀😀Kwahiyo ulitaka chama kiendelea na mwenyekiti ambaye ni kibaraka wa Fisiemu?
Unamfahamu neno linaitwa consolationMakapi yanaondoka, Chadema ndiyo kwanza inazidi kuimarika na kuungwa mkono na watu wengi kuliko wakati wowote ule.
Hao ndio waliokuwa wanafanya wananchi washindwe kuandamana sababu wabinafsi wanafikiria matumbo yao kuliko wananchi..!!Wapewe barua zao kabisa
Kabisa yaani.....Chama kinajivua gambaHao ndio waliokuwa wanafanya wananchi washindwe kuandamana sababu wabinafsi wanafikiria matumbo yao kuliko wananchi..!!
Utakuwa ulikuwa na Maslahi ni Dj. Naona bado una maumivu baada ya ulaji wenu kukatwaChama wamepewa vichaa
Duka lililovyunjwaKwa hiyo hilo jambo ulishindwa kulifikisha kwa utaratibu maalum uliopo ndani ya Chama chenu hadi uite press conference?
Mimi ni mchaga mwaka 2015 nilisema hichi chama ni cha wachaga, wazee wa kibosho na machame wakaniambia nikae kimya maana maslahi ya chama ni ya nchi nzima. Angalia waliohama chama 90 % ni wachaga, na mwenyketi mstaafu yuko kimya kama hajui TAL yupo jela. Mwenye macho haambiwi tazama. Chadema walipompa Lowassa nafasi ya kugombea urais pale ndipo kilijulikana ni chama cha aina gani.Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Kwa hiyo yeye ameumizwa na hilo ndio anaamua kutoka CDM. Mhuni tu, aende kwa waume zake.Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Chukua fomu tuWaende pumbavu zao, bado wananchi wengi wapo wa kuchukua nafasi zao na tusisikie chama kikikaa vizuri wanataka kurudi..!!
Au nikagombee eti Erythrocyte tuzibe nafasi zao 😹😹😹
Pamoja na hama hama ya viongozi na waliokuwa viongozi, Bado wanachama na washabiki wa CDM hawajayumba.Watu muhimu ni wanachama sio genge la uchagani chini ya mbowe
Kesi Iko mahakamani na kuna mawakili duu kweli kuna watu uwezo wao kufikiri unafikirishaAkiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Kwenye battlefield askari mmoja akijeruhiwa huwezi kusimamisha mapigano ili uhudumie mpiganaji aliyejeruhiwa. Hiyo kazi hufanywa na kundi maalumu (Combat medics). Katika context hii, combat medics ni wanasheria wa CHADEMA.Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Kwahiyo hufurahii hayo?chadema imekwisha sasa wqtu muhimu wote wanatoka chamani heche atahenya mwaka huu pekeyake
Yohana mbona wengi ni akina Minja na jamii yake? Au ndio hiyo uchaga uchaganiMchagga Uchagani 😂