CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Maji yanazidi kujitenga na mafuta, haya tangulieni mkamuandalie Mangi Mkuu Mbowe makao huko Chauma, ila mjue umma wa Watanganyika umewadharau sana.Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Ccm ndio inahitaji zaidi reform kuliko vyama vya upinzani.Chadema ilijaaa watumia tumbo wengi sana,,mimi ni CCM lakini wala sifurahii hii inachotokea Chadema
Makapi yanaondoka, Chadema ndiyo kwanza inazidi kuimarika na kuungwa mkono na watu wengi kuliko wakati wowote ule.chadema imekwisha sasa wqtu muhimu wote wanatoka chamani heche atahenya mwaka huu pekeyake
Cha ajabu ma Ccm ndiyo yanaumia zaidi. Acha watoke waende huko wanapoona panawafaa, ni haki yaochadema imekwisha sasa wqtu muhimu wote wanatoka chamani heche atahenya mwaka huu pekeyake
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Sio kawaida yako kutukana, imekuwaje leo 😀Nadhani hii ndio sababu ya kipumbavu zaidi tangu wanaojiuza waanze
WASIRA ANAWEZA KUMTIZAMA KAMA CHATU KAVIMBAKamwambie Wasira Chadema imekwisha kama hajakutandika makofi.
Chadema kila mwaka mnasema kimekufa alafu mwaka ukiisha kifo cha Chadema kinajirudia tena. Kipindi cha Jiwe mlisema haya haya mwishoni akafa Jiwe mwenyeweChadema is dead
Tundu Lissu na heche shililieni hapo hapo.Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi inayomkabili Tundu Lissu, lakini pia wanachadema kukamatwa
"Siyo jambo la kawaida tangu uchaguzi umeisha tukapata viongozi wapya, Kamati Kuu pekee iliyoitishwa ni ile iliyofanya usajihili wa wagombea wa uchaguzi wa kanda mbili ambazo ni kanda za Zanzibar, ambazo zilikuwa zimebakia kabla ya Mkutano Mkuu ili kupata viongozi wapya."
"Lakini chama kimepata madhila makubwa sana kwa mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) kukamatwa na kusafirishwa usiku kucha na hatimaye kupewa kesi kubwa na mbaya, kesi ngumu ya uhaini lakini Makamu Mwenyekiti (John Heche) ambaye anajinasibu kuzuia uchaguzi ameshindwa kuitisha Kamati Kuu ili tujadili kwa pamoja ikiwa ni namna gani ya kupata ushauri wa wanasheria juu ya upi mwelekeo kwenye kukabiliana huko mahakamani ingawa Makamu Mwenyekiti anaonekana huko Dar es Salaam, anaonekana akiendelea na mikutano lakini ameshindwa kuitisha Kamati Kuu tujadili kwa pamoja namna ya kuhakikisha Mwenyekiti wetu anatoka gerezani." Devotha Minja
View attachment 3334695
Hahaha na wewe Crimea?Ccm wapumbavu sana!
Mbinu ile ile toka mwaka 60
Chadema ni kama jini, unaliua baadae unakuta linapumua😀😀Chadema kila mwaka mnasema kimekufa alafu mwaka ukiisha kifo cha Chadema kinajirudia tena. Kipindi cha Jiwe mlisema haya haya mwishoni akafa Jiwe mwenyewe
Wapewe barua zao kabisaWaende pumbavu zao, bado wananchi wengi wapo wa kuchukua nafasi zao na tusisikie chama kikikaa vizuri wanataka kurudi..!!
Au nikagombee eti Erythrocyte tuzibe nafasi zao 😹😹😹
Wapi?Jinsi wachaga wanavyolalamika kuna fursa imewapita