PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi ni mchaga mwaka 2015 nilisema hichi chama ni cha wachaga, wazee wa kibosho na machame wakaniambia nikae kimya maana maslahi ya chama ni ya nchi nzima. Angalia waliohama chama 90 % ni wachaga, na mwenyketi mstaafu yuko kimya kama hajui TAL yupo jela. Mwenye macho haambiwi tazama. Chadema walipompa Lowassa nafasi ya kugombea urais pale ndipo kilijulikana ni chama cha aina gani.
 
Kwa hiyo yeye ameumizwa na hilo ndio anaamua kutoka CDM. Mhuni tu, aende kwa waume zake.
 
Kesi Iko mahakamani na kuna mawakili duu kweli kuna watu uwezo wao kufikiri unafikirisha
 
Kwenye battlefield askari mmoja akijeruhiwa huwezi kusimamisha mapigano ili uhudumie mpiganaji aliyejeruhiwa. Hiyo kazi hufanywa na kundi maalumu (Combat medics). Katika context hii, combat medics ni wanasheria wa CHADEMA.
 
Kaongea mambo ya msingi kama hamna vikao chama kitamtoaje Lisu huko?Ila kwa vile wasiojua taratibu za taasisi ndio wanaojibu hapa,tayari naona kuna janga kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…