PreGE2025 Devotha Minja: John Heche ameshindwa kuitisha kamati kuu kujadili kesi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwahiyo ulitaka chama kiendelea na mwenyekiti ambaye ni kibaraka wa Fisiemu?
Mnaomwita kibaraka kesho lissu naye mtamwita kibaraka kama mrema,cheyo,lipumba nk.
Fijana fya hofyo kabsaaa
 
Naiona hoja. Yaani hata Kamati Kuu ya dharura wakati kiongozi wenu mkuu ana kesi ya tuhuma za kuweza kunyongwa hadi kufa? CHADEMA imetufanya watanzania tuufute kabisa upinzani vichwani mwetu. Kwa hali hii, CCM itatawala sana.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wanataka kikao wakauze taarifa kwa watesi hakiitishwi Ng'o hakuna taarifa kwa sasa mnakimbia wenyewe
 
Hana hata hoja maskini! Duka kweli limefungwa
Labda nikuulize, kwa Makamu Mwenyekiti kutoitisha Kikao cha Kamati Kuu kujadili suala la kukamatwa kwa Mwenyekiti unaona ni sawa? Kama ni sawa, OK!
 
Mbona wengi wanaohama Wana makomwe makubwa makubwa
 
Baada ya kusema hayo (yaani Heche kushindwa kuitisha kikao cha kamati kuu) Devota Minja akasema anaamua sasa kujitoa CHADEMA!!!

Hiyo ni akili, matope au njaa?
 
Kwaiyo hilo jambo ndilo limemfanya kuhama chama? Sijawai kumwamini mchaga kwenye mambo muhimu, ndio maana chadema ya Mbewe ilikuwa pesa mbele,gia za angani
.Wachaga wote wanakimbia maana maslahi yao yameguswa.
 
Kila laheri wapitaji...
 
Anarudi IPP???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…