Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari yako ya kwanza ulienda Kukopa, ulikopa Wapi...!? Kwa dhamana gani....!?
Ulikopa Gari then ndo ukaanza biashara yako ya kwanza kuuza Mafuta ya Taa...!
Nyie hamkua Masikini, story za aina hii hazimsaidii ama kum motivate Masikini, ambaye hawezi hata kukopesheka kwa Pikipiki....!
Mimi nataka kusikia kama hivi....!
Nilichukua Gunia 3 za mahindi ambazo nilivuna baada ya kulima kwa mkono, Gunia 2 nikaenda kuuza, Gunia moja nikasaga Unga, nikanuua Mafuta, Dagaa, Panga, Shoka n.k.
Nikaenda msituni kukata miti na kuchoma mkaa, mkaa wangu wa kwanza kuchoma nikapata Gunia 15, nikauza nikapata laki 3, nikachoma tena mkaa nikapata laki 5...! Nikaenda wilayani kununua hiki na hiki, nikaenda kuuzachuku na huku n.k
Tunataka mifano halisi kama hii....!
Sio unatuambia tu Biashara ya kwanza ya Azam ilikua Bakery ya kutengeneza Mikate.....!
Alipata wapi pesa za kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mikate hamsemi....!
Hatutaki hizo story.....! Tunataka mtiririko unaoeleweka tokea chini.
Mtu unaingiza 20 millions kila mwezi unawezaje kusema huyo ni Masikini...!?Kuna level za utajiri na umasikini pia .
Mwingine akiingiza mil 20 kwa mwezi atasema yeye ni masikini ,lakini wewe unaona ni mwenye pesa .
labda anamaanisha umasikini wa chini ya dola milioni moja wa baba yake .
Wewe unasema sio masikini ,ila wapo wanaoona huyo ni masikini, kama azim dewji hapo anasema baba yake alikuwa masikini wakati anafariki ,lakini labda alikuwa anaingiza equivalent na hiyo . kumbuka hio ni dola 8000 na ni chini ya dola 100,000 kwa mwaka .Mtu unaingiza 20 millions kila mwezi unawezaje kusema huyo ni Masikini...!?
Au kuna tafasiri mpya ya Umasikini..!?
Tabia mbaya tuAzim dewji bao la nnje yule kwaiyo hakuweza kurithi mali kama alivorithi mo
Watu wamejaza vitabu vya Mengi majumbani baada ya kuwa inspired.Inspiring