Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

Mbona hawaonekani kwenye tuzo za best employers? Mshahara wa 150,000 kwa mwezi, ndio iwe ndoto ya kila Mtanzania.
 
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga na Kampuni yake. Kampuni hii imekuwa chaguo la kwanza kwa vijana karibia wote wanaomaliza vyuo nchini.
Mo amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo, lakini kutokana na sera Bora za ajira za kampuni yake imewezekana.
Mo ameendelea kusema regardless na kitengo alipo mfanyakazi, wafanyakazi wote wamekuwa covered na bima ambazo zinawazesha kupata matibabu ya mpaka milioni 5 kwa mwaka, allowance za nyumba pia Kampuni inatoa chakula Cha mchana kwa wafanyakazi wote, huduma ya usafiri, scholarship kwa watoto wa wafanyakazi nk.

Nampongeza Sana Dewji na niwakati kwa waajiri wengine kujifunza kitu kwa huyu jamaa.
Anaumwa akili huyo sio buree

JPM Ndio kiboko take huyu mwindi

Anatakiwa afunzwe.

Sikuwahi kusikia directors wa hayo makampuni yenu zaidi ya dada,Kaka sijui nani

Shame on you
 
Mods mkaedit ule Uzi wa makampuni ya private yanayoongoza kwa mishahara mikubwa TZ, Muwaongeze na MeTL, wasikose top 3😎
 
Asiyejua ngazi za mishahara ya MO aulize ataambiwa.
Mtoto wa dada alikua dereva kwa MO, alikua analipwa laki moja sabini elfu, hii Ni kazi ya ujuzi ndio maana aliwazidi wenzake.
Mjomba alikua anaishi kwa kuuza mafuta.
Kwa MO 150,000 Ni mshahara wa kawaida Sana.
 
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga na Kampuni yake. Kampuni hii imekuwa chaguo la kwanza kwa vijana karibia wote wanaomaliza vyuo nchini.
Mo amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo, lakini kutokana na sera Bora za ajira za kampuni yake imewezekana.
Mo ameendelea kusema regardless na kitengo alipo mfanyakazi, wafanyakazi wote wamekuwa covered na bima ambazo zinawazesha kupata matibabu ya mpaka milioni 5 kwa mwaka, allowance za nyumba pia Kampuni inatoa chakula Cha mchana kwa wafanyakazi wote, huduma ya usafiri, scholarship kwa watoto wa wafanyakazi nk.

Nampongeza Sana Dewji na niwakati kwa waajiri wengine kujifunza kitu kwa huyu jamaa.
Dah, unaweza kutukana hivi hivi. Why should i be so passionate to work at MeTL? Why?
 
niliwahi kwenda kiwandani vingunguti, watu Wana fanya kazi mazingira hatarishi, Wana vaa mayebo yebo,joto kwenye machine,hakuna kabisa usalama wa wafanyakazi, Yani kama upo sokoni kariakoo
Bas hapo Bloomberg wanamchora tu maana mzungu haongopewi wala teknolojia
 
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga na Kampuni yake. Kampuni hii imekuwa chaguo la kwanza kwa vijana karibia wote wanaomaliza vyuo nchini.
Mo amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo, lakini kutokana na sera Bora za ajira za kampuni yake imewezekana.
Mo ameendelea kusema regardless na kitengo alipo mfanyakazi, wafanyakazi wote wamekuwa covered na bima ambazo zinawazesha kupata matibabu ya mpaka milioni 5 kwa mwaka, allowance za nyumba pia Kampuni inatoa chakula Cha mchana kwa wafanyakazi wote, huduma ya usafiri, scholarship kwa watoto wa wafanyakazi nk.

Nampongeza Sana Dewji na niwakati kwa waajiri wengine kujifunza kitu kwa huyu jamaa.
Nonsense.
 
797F7764-E583-428E-AB9D-6748FD63C4AF.jpeg
 
Kama kuna ukweli wa tetesi kwamba mshahara wa dereva ni laki 1 tutabisha kwa lipi ?
siyo tetesi, nenda kiwanda chake, East Coast pale Kurasini, Engineer ( yule aliyemaliza 4 years UD ) anakunja 300k basic kwa Mwezi,

Technician mwenye Diploma anakunja 180k basic kwa Mwezi

Senior E. Engineer ambaye ni Muhindi anakunja 2m+

kiwanda kinanuka njaa kwa waTz

huyu MO ni bure kabisa
 
Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg.
Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga na Kampuni yake. Kampuni hii imekuwa chaguo la kwanza kwa vijana karibia wote wanaomaliza vyuo nchini.
Mo amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo, lakini kutokana na sera Bora za ajira za kampuni yake imewezekana.
Mo ameendelea kusema regardless na kitengo alipo mfanyakazi, wafanyakazi wote wamekuwa covered na bima ambazo zinawazesha kupata matibabu ya mpaka milioni 5 kwa mwaka, allowance za nyumba pia Kampuni inatoa chakula Cha mchana kwa wafanyakazi wote, huduma ya usafiri, scholarship kwa watoto wa wafanyakazi nk.

Nampongeza Sana Dewji na niwakati kwa waajiri wengine kujifunza kitu kwa huyu jamaa.
Yaani niwe na ndoto ya kuajiriwa kwa Mhindi halafu nilipwe mshahara wa laki na nusu, na matusi juu!! Huo ujinga anauweza pwilo na OKW BOBAN SUNZU.
 
Back
Top Bottom