Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

Wanaokimbilia kufanya kazi kwake itakuwa anawasemea wale wanaojazana getini asubuh ili walipwe 7k
 
Ndo maana wanaibiwa mafuta ya kula na madereva wao ,akinipa Pesa jtakuobesha clip ya Yule dereva aliyekua anaiba mafuta Mbagala kule
 
kinachonishangaza METL ni ile issue ya kulipa mshahara mkononi!! Hakuna mfanyakazi anaingiziwa hela bank,ni mwendo wa kupanga foleni
 
Back
Top Bottom