raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Oct 23, 2022 #41 Wanaokimbilia kufanya kazi kwake itakuwa anawasemea wale wanaojazana getini asubuh ili walipwe 7k
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,098 Reaction score 3,038 Oct 23, 2022 #42 And the vice versa is true..!
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Oct 23, 2022 #43 Huyu tajiri kijanaataacha lini uongo
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Oct 23, 2022 #44 Tate Mkuu said: Yaani niwe na ndoto ya kuajiriwa kwa Mhindi halafu nilipwe mshahara wa laki na nusu, na matusi juu!! Huo ujinga anauweza pwilo na OKW BOBAN SUNZU. Click to expand... Ila mkuu Kuna baadhi ya wahindi wanalipa vzr mno mfno Toyota ,agha Khan aise ukifanikiwa kuwa pale Toyota kwa nafsi lzm utabeba kutita kirefu mno
Tate Mkuu said: Yaani niwe na ndoto ya kuajiriwa kwa Mhindi halafu nilipwe mshahara wa laki na nusu, na matusi juu!! Huo ujinga anauweza pwilo na OKW BOBAN SUNZU. Click to expand... Ila mkuu Kuna baadhi ya wahindi wanalipa vzr mno mfno Toyota ,agha Khan aise ukifanikiwa kuwa pale Toyota kwa nafsi lzm utabeba kutita kirefu mno
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Oct 23, 2022 #45 Ndo maana wanaibiwa mafuta ya kula na madereva wao ,akinipa Pesa jtakuobesha clip ya Yule dereva aliyekua anaiba mafuta Mbagala kule
Ndo maana wanaibiwa mafuta ya kula na madereva wao ,akinipa Pesa jtakuobesha clip ya Yule dereva aliyekua anaiba mafuta Mbagala kule
tyc JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,179 Reaction score 2,971 Oct 23, 2022 #46 Bakhressa ni bora mara mía kuliko Mo Dewji
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,321 Reaction score 18,574 Oct 23, 2022 #47 Naamini wakati anahojiwa alikuwa amelewa sana
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Oct 23, 2022 #48 QmmmmmQe Si afadhali Bakhresa analipa vizuri watumishi wake.
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Oct 23, 2022 #49 Hapo kazi tembo mshahara sungura.
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Oct 23, 2022 #50 kinachonishangaza METL ni ile issue ya kulipa mshahara mkononi!! Hakuna mfanyakazi anaingiziwa hela bank,ni mwendo wa kupanga foleni
kinachonishangaza METL ni ile issue ya kulipa mshahara mkononi!! Hakuna mfanyakazi anaingiziwa hela bank,ni mwendo wa kupanga foleni