Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madini?We Jamaa una madini sana sema tu hii Nchi ina wajinga wengi sana
Mama isihaka wasalimie sana hapo kongoweAsante Mkuu ila kwa huku Kunisifia kwako tegemea Kuambiwa Wewe ni Mimi ni hii ID yako ni yangu.
Nilikuwa nasubiria Upumbavu wako ukamilike.Ulikuwa wapi kuandika kabla ya kufeli?
Usiogope wala Usiniogope Mkuu Mimi ni Mtu Mmoja wa Kawaida ( tena nisiye na mbele wala nyuma Kimaisha ) tena kuliko Wote hapa Jamiiforums hata akina adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi, Slim5 na Bujibuji Simba Nyamaume wanajua hilo ( hili )We mzee kama sio informer basi mvaa kaunda kabisa...HUWEZI KUWA UNAJUA MENGI NAMNA HII
Kuruhusu Wala Mihogo ( Masikini ) kama Wewe ( Nyie ) kuwa Mashabiki wa Timu yake mbovu ya Yanga SC.Ufala wa hersi ni upi?
dharau kubwa sana bora hiyo kauli ingetolewa na kiongozi wa Simba au timu nyingineWala mihogo.
Bila shaka ๐Usiogope wala Usiniogope Mkuu Mimi ni Mtu Mmoja wa Kawaida ( tena nisiye na mbele wala nyuma Kimaisha ) tena kuliko Wote hapa Jamiiforums hata akina adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi, Slim5 na Bujibuji Simba Nyamaume wanajua hilo ( hili )
Wise man GENTAMYCINEUsiogope wala Usiniogope Mkuu Mimi ni Mtu Mmoja wa Kawaida ( tena nisiye na mbele wala nyuma Kimaisha ) tena kuliko Wote hapa Jamiiforums hata akina adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi, Slim5 na Bujibuji Simba Nyamaume wanajua hilo ( hili )
Wewe mama isihaka hauna umaarufu wowote nje ya hapo kongoweUlibakia Juha ( Fool ) Wewe tu kutokujua hapa JamiiForums kuwa Mimi GENTAMYCINE ni Shabiki wa Simba SC na Mafia wa Michezo Michafu ya Soka la Bongo ( Tanzania )
Mimi nakula mihogo kama mwanaume au ulitaka nile chipsi niwe kama wewe mama isihaka?Kuruhusu Wala Mihogo ( Masikini ) kama Wewe ( Nyie ) kuwa Mashabiki wa Timu yake mbovu ya Yanga SC.
Na huo ndio ukweli maana wewe mzee wa kujifagilia sanaAsante Mkuu ila kwa huku Kunisifia kwako tegemea Kuambiwa Wewe ni Mimi ni hii ID yako ni yangu.
Kwahiyo hata nikiwa 'nakuweka' huwa nakuja pia Kujisifia hapa kwa Wadau au huwa nakutunzia Siri?Na huo ndio ukweli maana wewe mzee wa kujifagilia sana
Asante na ukiona GENTAMYCINE sijui Kitu / Jambo jua ni bahati mbaya na nadra mno ila kwa jinsi nilivyo na ninavyojiweka ni rahisi sana kupata Taarifa Nyeti, Ngumu na za Hatari kwakuwa nina Vyanzo Takatifu na sahihi karibia Maeneo yote na bahati mbaya Kwako ila nzuri Kwangu 98% ya Watu ninaokuwa nao on a daily basis huwa hawajui kuwa waliyenae ndiyo GENTAMYCINE Mwenyewe wa hapa JamiiForums na huwa Wanafunguka nikiwa nao hadi nawaonea Huruma kwani huwa Wananifaidisha na Taarifa / Habari muhimu.Nakuaminia sana Mr ma information