Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

Toka mmeanza kukemea hizo mnazoita dhambi mbona kila siku ndio zinazidi?

Tena siku hizi hao wachungaji wenu ndio wanafanya matukio ya ajabu kama hawana ubongo vilešŸ¤”
Swala la dhambi ziishe ama zizidi sio kazi yake. Kazi yake nikuwaambia watu waache dhambi bila kupepesa macho namna hii.
 
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.

Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya itapeli ya kina mwamposa ya ushuhuda wa huongo hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo.

Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu wanaokemea dhambi bila kupepesa macho.

Siyo watu una hubiri waache dhambi halafu una wabembeleza wee kama kwamba wanachofanya ni sahihi ila kina mdhara! Ni sawa na mzee wa upako kusema kunywa pombe Ni kosa ila sio dhambi.

Padri wangu aliyekuwa hapapasi dhambi ni padre Thomas kabila bilingi. Daima atabaki kuwa padre mzuri mno kuwahi kutokea.

Huyu hata kwenye ndoa kama umepaka makeup umevaa wigi alikuwa hafungi ndoa za namna hiyo lipshine alikuwa anaitwa mavi ya wahindi. Nilimkubali sana.

Nisiwachoshe.

View attachment 3127480
View attachment 3127481
View attachment 3127482
View attachment 3127483
View attachment 3127480
View attachment 3127480
Wote hao ni wapumbavu tu
 
Swala la dhambi ziishe ama zizidi sio kazi yake. Kazi yake nikuwaambia watu waache dhambi bila kupepesa macho namna hii.
Kila kitu kipo kwa sababu wewe kama observer upo ,wakiacha hizo dhambi utajuaje wema ? Wakiacha hizo dhambi police watakula wap?

Hao mnaoita watumishi wafundisheni kila kitu kipo kwa sababu ya balance fulani hata wasipo huburi dhambi zipo na wema upo.
 
Mbaga aliropoka kwa kudai hajui watu walio single wanaishije.
Vingi tu mbaga anazingua Huwa anasema yesu angekuwa kanisani angewafukuza wenye nguo fupi kanisani? Angewafukuza wavaa mlegezo? Kwa masikio yangu nilimsikia siku ya sabato pale dodoma kati. Huyu pastor wanakwaya walikuwa wamevaa nguo fupi aliwatimua wote akaawambia ondekeni hapa akataka nyimbo ya kitabu niliona clip hiyo miaka4 imepita.
 
Kila kitu kipo kwa sababu wewe kama observer upo ,wakiacha hizo dhambi utajuaje wema ? Wakiacha hizo dhambi police watakula wap?

Hao mnaoita watumishi wafundisheni kila kitu kipo kwa sababu ya balance fulani hata wasipo huburi dhambi zipo na wema upo.
Hata wewe kuwafundisha ni sawa tu hujakatazwa!
 
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.

Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya itapeli ya kina mwamposa ya ushuhuda wa huongo hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo.

Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu wanaokemea dhambi bila kupepesa macho.

Siyo watu una hubiri waache dhambi halafu una wabembeleza wee kama kwamba wanachofanya ni sahihi ila kina mdhara! Ni sawa na mzee wa upako kusema kunywa pombe Ni kosa ila sio dhambi.

Padri wangu aliyekuwa hapapasi dhambi ni padre Thomas kabila bilingi. Daima atabaki kuwa padre mzuri mno kuwahi kutokea.

Huyu hata kwenye ndoa kama umepaka makeup umevaa wigi alikuwa hafungi ndoa za namna hiyo lipshine alikuwa anaitwa mavi ya wahindi. Nilimkubali sana.

Nisiwachoshe.

View attachment 3127480
View attachment 3127481
View attachment 3127482
View attachment 3127483
View attachment 3127480
View attachment 3127480
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.

Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya itapeli ya kina mwamposa ya ushuhuda wa huongo hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo.

Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu wanaokemea dhambi bila kupepesa macho.

Siyo watu una hubiri waache dhambi halafu una wabembeleza wee kama kwamba wanachofanya ni sahihi ila kina mdhara! Ni sawa na mzee wa upako kusema kunywa pombe Ni kosa ila sio dhambi.

Padri wangu aliyekuwa hapapasi dhambi ni padre Thomas kabila bilingi. Daima atabaki kuwa padre mzuri mno kuwahi kutokea.

Huyu hata kwenye ndoa kama umepaka makeup umevaa wigi alikuwa hafungi ndoa za namna hiyo lipshine alikuwa anaitwa mavi ya wahindi. Nilimkubali sana.

Nisiwachoshe.

View attachment 3127480
View attachment 3127481
View attachment 3127482
View attachment 3127483
View attachment 3127480
View attachment 3127480
Nimependa anavyowasilisha ujumbe. Anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom