Mkuu uko sawa kabisa. lakini fanya research ya makanisa haya mawili sda na roma angalia maisha ya wachungaji wao ama ma katekista wa roma. heli hata wasababto wao wana mshahara ahubiri ama asihubiri mwisho wa mwezi unaingia. nje na mshahara ni waumini wenyewe wamfanyie harambe kwa kuwashwa kwao na sio lazima.
Huyu jamaa unae muon hapo kwa kawaida tu miradi yake aliyo nayo angekuwa kashaachana na dini kitambo mno
Laikini hadi leo kanisa lina mtumia japo kastaafu hata kama akipewa m10 kwa mwezi kwa ukwasi alio nao hawezi hangaika na watu kama unavyomuona hapo. Na ndio maana mahubiri yake yamenyooka hataegemei sadaka yako ndo aishi.
Nimefatilia mahubiri yake huwa yana utulivu sana huwezi kuta dada kavaa ovyo nk