Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

Toka mmeanza kukemea hizo mnazoita dhambi mbona kila siku ndio zinazidi?

Tena siku hizi hao wachungaji wenu ndio wanafanya matukio ya ajabu kama hawana ubongo vile🤔
Swala la dhambi ziishe ama zizidi sio kazi yake. Kazi yake nikuwaambia watu waache dhambi bila kupepesa macho namna hii.
 
Wote hao ni wapumbavu tu
 
Swala la dhambi ziishe ama zizidi sio kazi yake. Kazi yake nikuwaambia watu waache dhambi bila kupepesa macho namna hii.
Kila kitu kipo kwa sababu wewe kama observer upo ,wakiacha hizo dhambi utajuaje wema ? Wakiacha hizo dhambi police watakula wap?

Hao mnaoita watumishi wafundisheni kila kitu kipo kwa sababu ya balance fulani hata wasipo huburi dhambi zipo na wema upo.
 
Mbaga aliropoka kwa kudai hajui watu walio single wanaishije.
Vingi tu mbaga anazingua Huwa anasema yesu angekuwa kanisani angewafukuza wenye nguo fupi kanisani? Angewafukuza wavaa mlegezo? Kwa masikio yangu nilimsikia siku ya sabato pale dodoma kati. Huyu pastor wanakwaya walikuwa wamevaa nguo fupi aliwatimua wote akaawambia ondekeni hapa akataka nyimbo ya kitabu niliona clip hiyo miaka4 imepita.
 
Hata wewe kuwafundisha ni sawa tu hujakatazwa!
 
Nimependa anavyowasilisha ujumbe. Anaitwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…