Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

Hatari sana.
Mke wako ni chombo cha kazi
Kwa uelewa wako uko sahihi.

Mke nimekwambia mke wangu Hana huo uchafu wa mawigi makucha ya bandia,Rasta, makeup nk. Hao ulio sema wewe wanaovaa then naenda kuzini nao nikakujibu hao ndo chombo Cha starehe.

Mwanamke yeyote wa namna hiyo ni chombo Cha starehe hata akiwa mke wa mtu mwenye kuvaa wigi,kucha. Za bandia,Rasta,kope za bandia,katoboa Hadi kitovu na kuchora tatoo nasemaje hii ni starehe tu siyo ya kuoa
 
Wakati Yesu mwenyewe alikuwa akifunga safari kwenda kijiji cha Bethania kumwona Mariamu dada yake Lazaro. Yesu hakuwa na noma kabisa na kina dada. Yesu alikuwa anamaindi sana wanaofanya biashara kanisani. Angekuwepo angepiga marufuku jina lake kutumika kibiashara na kisiasa.
 
Uko sawa.hao unawasemea akina mwamposa. Yesu angekuwepo Leo wanawake wavaa vimini kanisani angewatimua na kuwaambia ondokeni na msigeuze nyumba ya baba yangu kuwa pango la ukahaba
 
Sawaaa. Mke wako ni chombo cha kazi
 
Huyo Pastor amenyooka vibaya huwa harembeshi anaitwa Pastor Mwasomola
Tuseme ukweli... Hapa kaongea kweli gani hasa, kwamba kupaka rangi na lipstick ni dhambi? Ubaya wake ni nini kama hata yeye anapaka mafuta... Why mtu akipaka makeup akapendeza mnasena dhambi....? Je hii sio akili ya ujima... Wale wa kujihesabia haki kwa matendo ya Sheria?

Neno la Mungu halisemi lipstick au makeup dhambi... Hayo na mapokeo ya wanaojihesabia haki kwa matendo ya Sheria... Hamtaiona Mbingu!

Kama wewe unaamini ni dhambi.. Basi uje hapa na fact za kwanini kupaka lotion au Vaseline sio dhambi... Acheni kufanya ukristo mgumu kwa mapokeo ya kibinadamu.. Alafu unasema eti mbingu ataiona... Mbingu yako au?

Povu ruksa lote kama llote ila ukishindwa kuelezea kuwa lotion sio dhambi Na wewe utakua utopolo tu🤣🤣
 
Wee kweli bwabwa sasa umejuaje kama ana PhD... Useless idiot wewe
Kwani matusi ndiyo jibu, au unaugua ugonjwa mbaya wa chuki ya kidini. Jitahidi kusema kistarabu, kujitambulisha tabia yako. Kwa maneno haya una tatizo mahala. Ninachosema nakijua kuhusu elimu yake.
 
Why mtu akipaka makeup akapendeza mnasena dhambi....?
Nimeishia hapa kusoma nikaona kichwani haunazo wewe ni Tahira pumpuni kabisa.

makeup unapendenza kuliko ulivyo umbwa na Mungu? ukivaa wigi unapendeza?
Ninyi ndo mnao kubali hata kujikrimu sio dhambi kisa haijaandikwa.
 
Nimeishia hapa kusoma nikaona kichwani haunazo wewe ni Tahira pumpuni kabisa.

makeup unapendenza kuliko ulivyo umbwa na Mungu? ukivaa wigi unapendeza?
Ninyi ndo mnao kubali hata kujikrimu sio dhambi kisa haijaandikwa.
Hapo na wewe unaamini utaiona mbingu wakati umetukana🤣🤣🤣 Alafu mwaona kosa makeup na lipstick.... Au hujui alikosa sheria moja amekosea katika zote!!

Siku ukikutana na Yesu ukajua ukweli utalaumu Sana wachungaji wako!

Mi nakuombea ujue kweli ya Kristo... Uwe na Uhuru na sio kufungwa nira na mafundisho ya kidini... Ila sikukatazi.. Mkeo kumfanya awe chukuchuku!!,😁😁😁
 
hapa mwenge SDA wanavovaa vimin yaan daaah naendaga kanisan naishia kusimamisha tuu daaah full vimini .....yaan na vijana wananyoa denge plus wainjilist na wazee wa kanisa ety tunaenda paradiso mmm labda ile ya mabikra 72
 
Tahira,ujinga,upumbavu, na hii pumpuni sio matusi. kama hujui maana zake sema uelimishwe. swala la kuiona mbingu
sio lako ama langu. Sijakuomba uniombee ni kiherehere chako tu. yesu hakuwa na dhehebu kama nilivyo mimi leo hii. siendi kanisani na ni mkristo na sali popote.

mkuu kipi kinachekesha kwenye hizi comment maana unatakakunidhirishia live utahira wako
 
hapa mwenge SDA wanavovaa vimin yaan daaah naendaga kanisan naishia kusimamisha tuu daaah full vimini .....yaan na vijana wananyoa denge plus wainjilist na wazee wa kanisa ety tunaenda paradiso mmm labda ile ya mabikra 72
Magugu na ngano boss. na hii kwa sabbu wachunguji hawakemei dhambi namna hii.
 
Wote wanahubiri pesa tu toa ndugu toa ulichonacho kingine ndo maana clip ya kwanza hataki watu wapake rangi kucha ila watoe zaka lakini yeye kavaa suti ya mamilioni Kwa zaka za waumini lakini hataki waumini wapendeze
 
Wote wanahubiri pesa tu toa ndugu toa ulichonacho kingine ndo maana clip ya kwanza hataki watu wapake rangi kucha ila watoe zaka lakini yeye kavaa suti ya mamilioni Kwa zaka za waumini lakini hataki waumini wapendeze
Huyo jamaa una mfahamu mkuu? hapo anatimiza wito tu amewa kuwa dr huko mambele na elimu yake sio kama
unavyo mchukulia ukwasi alio nao angekuwa na mbwembwe kama akina geodavie ungekuwa unamjua vzr tangu zamani. na hapo kastaafu anafanya kujitolea kulingana na uzoefu. mimi sio msabato lkn nimeshamfatilia kwa kiasi chake. ana miradi mikubwa mno pia sidhani kama mshahara wa mch kwa sasa unafika hata m1 sina hakika walikua 600k miaka3 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…