Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kweli chizi sio mpaka avue nguoNilishamaliza kazi mda mrefu ,
La kwanza nilithibitisha Muhammad alikuwa hajui chochote kuhusu kufunga , akaiga kwa wayahudi Cha kushangaza sio Allah kamwambia [emoji23][emoji23][emoji23]
La pili nimethibitisha Allah alitengeneza masanamu ya Malaika na mitume akaweka msikitini waislamu wakawa wanayaangalia na kukumbuka kumuomba Allah
Swali lilibaki kwako bado hujajibu
Kati ya masanamu ya Suleimani na jiwe la macca kipi kilitangulia?
Kwa nini Allah aliyaondoa masanamu likabaki jiwe tu ?
Shida Yako kubwa ni kutokujibu swali moja baada ya lingineMwisho mimi nimemaliza kazi maana imeshindwa kutuambia wapi yesu kawaambia mfungue saa 12
Akili itakukaa sawa , umeona majini yalijenga msikitini na masanamu ya mitumeTatu masanam aliyo kua anayachonga suleimani sio kwa ajili ya kuabudiwa kama nyie mnavyo fanya sanam la deacon
Kati ya ile funga aliyoiga kwa wayahudi na funga ya ramadhani ipi ukifunga unasemehewa dhambi za mda mrefu? Weka na rejeaPili funga alio twambia Allah ya Lazima ni Ramadhani nikakuuliza wapi mayahudi walikua wanafunga ramdhani hukujibu
Hahahha yani wewe hujijui kama huna shida tangu jana mpaka leo umeshindwa kusema yesu gani kawaambia mufunge saa 12 hivi unatumia akili kweliShida Yako kubwa ni kutokujibu swali moja baada ya lingine
Swali lilibaki kwako bado hujajibu
Kati ya masanamu ya Suleimani na jiwe la macca kipi kilitangulia?
Kwa nini Allah aliyaondoa masanamu likabaki jiwe tu ?
Soma swali jibu kama lilivyo ulizwa
Swali lilibaki kwako bado hujajibuHahahha yani wewe hujijui kama huna shida tangu jana mpaka leo umeshindwa kusema yesu gani kawaambia mufunge saa 12 hivi unatumia akili kweli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuruAkili itakukaa sawa , umeona majini yalijenga msikitini na masanamu ya mitume
Kwa Nini Allah alikuja badae tena kukataa kazi zake na yeye ndie alianzisha ?
Ni wapi na andiko gani linasema wakristo wanaabudu sanamu?
Hahhahaha ndio jibu hilo hivi tangu jana unashindwa kujibuSwali lilibaki kwako bado hujajibu
Kati ya masanamu ya Suleimani na jiwe la macca kipi kilitangulia?
Kwa nini Allah aliyaondoa masanamu likabaki jiwe tu ?
Soma swali jibu kama lilivyo ulizwa
34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru
Haya wapi hapo aya inasema masanam yamejengwa ndani ya msikiti
Na hapo mbona aliekua akifanyiwa apendalo ni Suleman au hujui kusoma
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio maana naamua kukupotezea ,haujibuHahhahaha ndio jibu hilo hivi tangu jana unashindwa kujibu
Wewe hadithi si umetoa mwenyewe
Hahahha sinagogi hulijui soma hii34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Synagogue la waislamu ni nini?
Hahaha nimekuuliza aya gani inasema macca Allah alieka masanam[emoji23][emoji23]?Ndio maana naamua kukupotezea ,haujibu
Swali lilibaki kwako bado hujajibu
Kati ya masanamu ya Suleimani na jiwe la macca kipi kilitangulia?
Kwa nini Allah aliyaondoa masanamu likabaki jiwe tu ?
Soma swali jibu kama lilivyo ulizwa
Swali ni hiliHahahha sinagogi hulijui soma hii
Swali lilibaki kwako bado hujajibuHahaha nimekuuliza aya gani inasema macca Allah alieka masanam
Ndipo Hana akainuka, walipokwisha kula na kunywa huko Shilo. Naye Eli, kuhani, alikuwa akiketi kitini pake penye mwimo wa 𝐇𝐄𝐊𝐀𝐋𝐔 la Bwana.Swali ni hili
Synagogue la waislamu ni nini?
Jibu kama swali lilivyoulizwa
Swali ni hiliNdipo Hana akainuka, walipokwisha kula na kunywa huko Shilo. Naye Eli, kuhani, alikuwa akiketi kitini pake penye mwimo wa 𝐇𝐄𝐊𝐀𝐋𝐔 la Bwana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kila siku utaendelea kushindwa tu kama masaa 27 na umeshindwa kujibu nani alie waambia mfungue saa 12 mkifungaSwali lilibaki kwako bado hujajibu
Kati ya masanamu ya Suleimani na jiwe la macca kipi kilitangulia?
Kwa nini Allah aliyaondoa masanamu likabaki jiwe tu ?
Suleiman muislamu na masanamu walikuwa wanaishi wapi?
Soma swali jibu kama lilivyo ulizwa
Kwa hiyo ulivyo kua unaongopa hovyo ulijua watu hawajui au mimi nina kupa kwa maandiko kuku wewe sio kunipotezea kama kukupotezea mimi ningekupotezea muda tu tangu jana umeshindwa kujibu swali moja tuSwali ni hili
Synagogue la waislamu ni nini?
Jibu kama swali lilivyoulizwa
Kama hutajibu kama nilivyouliza nakupotezea
Huwa sifungi Kwa kubadirisha ratiba ya kula mkuuHivi ushawahi kufunga?