Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Huenda kama sio kifo cha uzeeni, vifo vyote vinapangwa na binadamu katika ulimwengu wa roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi iko hivo vifo vingi husababishwa na washirika wa adui wa Existence ya mwanadamu. Sheria ya Mungu Mwanadamu inatakiwa aishi kuanzia miaka 70Huenda kama sio kifo cha uzeeni, vifo vyote vinapangwa na binadamu katika ulimwengu wa roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakachopanda duniani utavuna hicho hicho,kama hukufuata maagizo na sheria za Mungu bada ww mavuno yako yatakuwa kifo baada ya hukumu (sio kuchomwa moto). Hakuna mpango wowote wa kifo unaofanywa na Mungu.Nipe tu elimu hapa mimi ni RC ila nimefanikiwa kusoma majarida yenu toka nikiwa darasa la pili. Pia nimeshiriki ibada zenu
baada ya kifo hapa duniani nitbaki katika mfumo wa roho. Je siku hiyo ya mwisho nitakua katika mfumo gani??? Roho au mwili!?Utakachopanda duniani utavuna hicho hicho,kama hukufuata maagizo na sheria za Mungu bada ww mavuno yako yatakuwa kifo baada ya hukumu (sio kuchomwa moto). Hakuna mpango wowote wa kifo unaofanywa na Mungu.
1. Tunakufa kwa sababu tumerithi dhambi ya kifo toka kwa wazazi wetu(Adam na Hawa)
2. Unaweza kufa kwa uzembe wako mwenyewe.
3. Unaweza kufa kwa sababu ya matukio yasiyotarajiwa.
Sio kweli msome mtoa mada linganisha na ulicho andika uone tofautiMtoa mada huwa mada zako ni za kufikirika mno.mtu usipokuwa makini unaweza sema hiki kilicho ongelewa hapa ni kweli tupu ila kwa watu walio na imani ni vitu simples sana unazungumzia.......
Kwa ulicho andika hapa sisi km waislamu tuna mafundisho yetu ambayo tuna yaamini mno.ila sio lazima na nyie pia muamini kama sisi . Ipo hivi
Kwa mujibu wa uislamu mtoto kabla hajazaliwa rizki yake tayari ishakadiriwa, Na umri atakaoishi duniani pia tayar kasha tia sahili.........Ndugu zetu msione ajabu hivi vitu mkaona kama haviwezekani !!!!!!!!!.
Ndio maana siku zako za kuishi zikifika hata waje madaktar wote hawawezi kukupa uhai wala kukuongezea muda .Hata uwe tajiri kiasi gani
Umauti unatisha ndugu zangu tuache umalaya........
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Ushawahi kufa au unaleta tuu story za kidiniMtoa mada huwa mada zako ni za kufikirika mno.mtu usipokuwa makini unaweza sema hiki kilicho ongelewa hapa ni kweli tupu ila kwa watu walio na imani ni vitu simples sana unazungumzia.......
Kwa ulicho andika hapa sisi km waislamu tuna mafundisho yetu ambayo tuna yaamini mno.ila sio lazima na nyie pia muamini kama sisi . Ipo hivi
Kwa mujibu wa uislamu mtoto kabla hajazaliwa rizki yake tayari ishakadiriwa, Na umri atakaoishi duniani pia tayar kasha tia sahili.........Ndugu zetu msione ajabu hivi vitu mkaona kama haviwezekani !!!!!!!!!.
Ndio maana siku zako za kuishi zikifika hata waje madaktar wote hawawezi kukupa uhai wala kukuongezea muda .Hata uwe tajiri kiasi gani
Umauti unatisha ndugu zangu tuache umalaya........
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Mkuu unajua kwanini jamii ya watu wa kale waliishi miaka mingi sababu kuu ilikua size ya miili yao na vyakula vya asili. Watu walikua na miili mikubwa sana. Mfano kidogo angalia jamii ya wachaga hasa wa zamani wengi waa maumbo makubwa sana ukienda moshi ndani ndani huko utakuta wazee wana miaka 100+kwa mujibu wa mtoa mada,kama tungeendelea kukua(seli zinazozalishwa zingeendelea kuwa nyingi kuliko zinazokufa),basi kungekuwa na chance ya kuwa na maisha marefu zaidi...provided kwamba unakwepa magonjwa na ajali zinazoweza kupelekea kifo ghafla...ila kwa nadharia hyo pia mtu anaweza kufika miaka 1000 akiwa na urefu wa meter 75( hapo ni kama kila baada ya miaka 20 atakua anaongezeka urefu kwa 1.5 meters).
natauta more informations,narudi...nisaidie pia...maybe tukijua what was their menu,,tutajua ni vyakula gani vinachochea uzalishaji wa seli hai zaidi kwenye mwili wa mwanadamu.Mkuu unajua kwanini jamii ya watu wa kale waliishi miaka mingi sababu kuu ilikua size ya miili yao na vyakula vya asili. Watu walikua na miili mikubwa sana. Mfano kidogo angalia jamii ya wachaga hasa wa zamani wengi waa maumbo makubwa sana ukienda moshi ndani ndani huko utakuta wazee wana miaka 100+
Nipo na deeg deeperNaona unafukua mada zangu mkuu
Th reason mtoto analia baada ya kuzaliwa ni kuguswa na shetani isipokuwa kwa Maryam na mwanawe (yesu/issa/jesus).wanasema mtoto akizaliwa huwa analia,
sababu ya kulia ni baada ya kutia saini death certificate yake..hivyo anajililia matanga yake..
hii stori ipo sana najua vinci ushawahi kuskia
Kwa mujibu wa hii hadithi Issa ana mamlaka makubwa zaidi ya Mo.Th reason mtoto analia baada ya kuzaliwa ni kuguswa na shetani isipokuwa kwa Maryam na mwanawe (yesu/issa/jesus).
Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported that he heard the Messenger of Allah (may Allah's peace and blessings be upon him) say: "No child is born but the devil touches him when he is born, whereupon he starts crying loudly because of having been touched by the devil, except for Maryam and her son." Abu Hurayrah then read: {And I seek refuge with You (Allah) for her and her offspring from Satan, the outcast.} [Sūrat Āl-‘Imrān: 36]
Sahih/Authentic. - [Al-Bukhari and Muslim]
Hadith inajieleza kuwa Isa mwana wa maryam aliombewa dua na mama yake angali bado yupo tumboni kuwa Mungu amkinge na shetani na Mungu alijibu maombi ya maryam. Issa alipozaliwa hakulia na miongoni mwa miujiza pia aliyopewa ni kuongea hali ya kuwa ni mtoto mchanga. Issa /yesu aliongea kumtetea mama yake dhidi ya tuhuma za uzinifu kuwa alizini ndio maana akampata huyo mtoto.Kwa mujibu wa hii hadithi Issa ana mamlaka makubwa zaidi ya Mo.
Kwa sababu Issa hajaguswa na shetani alipokuwa mdogo ila Mo aliguswa.
Allah amefadhilisha mitume katika daraja tofauti na mbora katika mitume yote ni Muhammad (pbuh) kwasababu mitume yote iliyotangulia ilitumwa kwa kundi au taifa fulani ila Muhammad alitumwa kwa ajili ya ulimwengu mzima. Na pia yeye ndie atakaekubaliwa ombi la kuombea wanadamu wote siku ya mwisho wapate kuhukumiwa mara baada ya kuwa washakaa takribani ya miaka elfu hamsini wakisubiri hukumu ya Mungu ipite.Kwa mujibu wa hii hadithi Issa ana mamlaka makubwa zaidi ya Mo.
Kwa sababu Issa hajaguswa na shetani alipokuwa mdogo ila Mo aliguswa.
Kama haya ndio mafundisho basi mnapotoshwa sana, Ina maana Gani sasa ya mtu kuzaliwa kama Kila kitu keshapangiwa? mfano; utazaliwa maskini utakufa na utapiamlo yaani umezaliwa ya nini sasa?Mtoa mada huwa mada zako ni za kufikirika mno.mtu usipokuwa makini unaweza sema hiki kilicho ongelewa hapa ni kweli tupu ila kwa watu walio na imani ni vitu simples sana unazungumzia.......
Kwa ulicho andika hapa sisi km waislamu tuna mafundisho yetu ambayo tuna yaamini mno.ila sio lazima na nyie pia muamini kama sisi . Ipo hivi
Kwa mujibu wa uislamu mtoto kabla hajazaliwa rizki yake tayari ishakadiriwa, Na umri atakaoishi duniani pia tayar kasha tia sahili.........Ndugu zetu msione ajabu hivi vitu mkaona kama haviwezekani !!!!!!!!!.
Ndio maana siku zako za kuishi zikifika hata waje madaktar wote hawawezi kukupa uhai wala kukuongezea muda .Hata uwe tajiri kiasi gani
Umauti unatisha ndugu zangu tuache umalaya........
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Kuhani mkuu ni mmoja tu naye Hana baba Wala mama, anaishi milele, haha Mwanzo Wala mwisho yeah ni Melchizedek ambaye kwetu amejidhihirisha kibinadamu kama Yesu kristo. Huyu ndiye kuhani mkuu, ambaye bila kupitia kwake hakuna namna utafikia ufalme wa mbinguni.Allah amefadhilisha mitume katika daraja tofauti na mbora katika mitume yote ni Muhammad (pbuh) kwasababu mitume yote iliyotangulia ilitumwa kwa kundi au taifa fulani ila Muhammad alitumwa kwa ajili ya ulimwengu mzima. Na pia yeye ndie atakaekubaliwa ombi la kuombea wanadamu wote siku ya mwisho wapate kuhukumiwa mara baada ya kuwa washakaa takribani ya miaka elfu hamsini wakisubiri hukumu ya Mungu ipite.