Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Hao ndugu zako hawawezi kujitafutia? Sijuagi kuna nini hapa kati mwanaume anaona ni bora amuandike hata mzazi wake ila mke na watoto watajijua sijuagi mna sababu gani.
Ndug zng wanaweza
Unamuandika mdogo wako?!..bora hata umwandike mwanao..au umwandike kabisa huyo mkeo hata ukifa watoto itawahusu ila kumwandika mdogo wako wanao hawatapata chochote kwenye hiyo nyumba..tafakari upya!
Sina watoto M/Mungu akipenda mwez wa 3 natarajia kupat mtt wng wa kwanz wa kiume mim na mke wng
 
Mwanaume unaoa mwanamke ili akusaidie kulea familia? Lazima una udumavu wa akili. Oa mke umpendaye ili muishi kwa mapenzi na amani. Siyo ili aje akusaidie au achangie kujenga nyumba.
Mkuu

Unaweza panga hivyo na isiwe kabisa!

Mke huletwa na Mungu kwenye maisha!ukianza kumtafutia tu inakula kwako!!

Unaweza panga kabisa uoe asiemtumishi akaja mtumishi akakiganda na mimba akabeba akakomaa na kwako habanduki na mimba yako anayo ukashindwa kumfukuza bcoz Sio KILA mtu anaweza kumfukuza mjamzito wako geto!

Haya unavumilia,anazaliwa mtoto copyright,mama katulia hata kelele hana tena wanavojua kujipendeza kwa wakwe acha KABISA!

Unaoa maisha Yana anza badae usaliti kama huo,unafanyaje!!!
 
- Usimwamini Mwanamke.

- Usimwoneshe mali zako zote

- Usimmilikishe mali zako zote

- Usitake mazoea na ndugu zake
Kama ndo hivo c uache kabisa kuoa maisha gani hayo ya kuficha mali zako mtaishi kiunafiki tu.
 
Kama ndo hivo c uache kabisa kuoa maisha gani hayo ya kuficha mali zako mtaishi kiunafiki tu.
Ila hili la Mali ni muhimu kufata huu ushauri.

Asijue Mali zako zote, ukibisha hudhuria mahakamani kwenye kesi za Talaka na kugawana Mali.
 
Unahoja moja tu ndio naikubali, yaani abadilishe jina kwenye hati lisiwe la mdogo wake bali la wanae au kama hawajazaa basi la kwake au mama yake mzazi. Lakini yaliyobaki sitokaa hata siku moja nimuamini mwanamke. Hata siku moja usifanye hilo kosa, hasa kwaupande wa mali. Hayo yakunisaidia yangefaa kipindi kile ambapo ndoa zilikuwa haziharibiki kirahisi ila sio sasa. Upendo huisha usipokuwa wa mtoto na wazazi na kamwe mwanamke hafanyi jambo kama hatajua hatapata faida juu yake. Mwanamke hata umtendee wema kiasi gani ila hisia zake zikienda kushoto atakuona na kukudharau kama mjinga fulani. So, mwanamke tutatunza ndoa ila kuhusu assets hata siku moja hatutashirikiana. Kama atakopa akaenda kujenga, ni pesa yake na mkopo ni wake hivyo halitanisumbua kwachochote. Tulijifunza mengi na mwanamke sitasahau kuwa haaminiki isipokuwa mama yangu tu.
 
Kwa SISI wanaume,ndoa ni kujitoa mhanga tu!!

Yaani kama mmezaa Watoto tu we hesabu huna chako,sema KABISA HIVI VYOTE ni kwa ajili ya wanangu mi Sina KITU HAPA,ikiwezekana anza kuandika na majina KABISA!

Angalau utakuwa safe!!
 
Safi, na hio uliyonayo ndio akili timamu ya mwanaume .
 
Pesa ya mwanamke kwa mwanaume makini inatumika kwa matumizi ya kila siku, kununua nguo, vyombo, vitu vidogo vidogo, vya nyumbani na sio vitu vya maendeleo na vyakula maana hawachelewi kusema nakulisha mbwa ww
 
Ingekuwa yeye ndokamtenda mkewe ivyo sheria ingemtetea sana mwanamama uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…