Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Kuna wanaume wengine wanataka wapendwe na wafanyiwe mambo yote kama walemavu.Huwa wanaoa hadi wake wengi na kuwafanya mtaji wakati wao wanazurula na kustarehe tu.
Siku zote mwanaume ni kichwa cha familia ndo thinking tank ya hiyo familia ili waendelee kuishi, kwahoyo wewe wataka thinking tank iwoshe vyombo vya chakula ipige ndeki hapana sio.
 
Siku zote mwanaume ni kichwa cha familia ndo thinking tank ya hiyo familia ili waendelee kuishi, kwahoyo wewe wataka thinking tank iwoshe vyombo vya chakula ipige ndeki hapana sio.
Upo mbali kabisa na hoja.Tulia na urudie kusoma ili uelewe.
 
Hili sasa ni Povu kwa Wanaume wenye wake wengi, au siyo!!??
Soma vizuri uelewe.Tatizo siyo kuoa wake wengi.Hata wangekuwa mia,poa sana.Hoja ni kwamba,kuna wanaume huwafanya kuwa vitega uchumi kwa kuwapa kazi ngumu(k.m mashamba walime kwa gharama za wanawake)halafu waume hujichukulia mazao au hata fedha zitokanazo na mavuno kwa nguvu.
 
Ngosha nakuaminia,huwezi kufeli kizembe,huyo mwanamke mwache akuze wanao tu,wakifika umri fulani unamgonga ndago moja heavy akafie mbele,hawezi kuchza na jasho la Ngosha hivihivi wakati tunguli za Babu zipo tu
 
Wanaamini WAO ndyo wanastahili kupewa na kupendwa .Sawa Wanaume tunatimiza wajibu wetu wa kuwapenda na kuwatimizia Haja zao lakini WAO walipaswa watupe heshima na kutusikiliza .Lakini ndyo kwanza wanataka kuwa kama Baba wa familia. Wanakuwa na kiburi kwa waume zao lakini ndyo wanaowategemea .Kiburi wanakipeleka hadi chumbani na KUTUMIA Penzi kama silaha kwa wanaume. Hawa watu ni zaidi ya mbwa.in short wanawake ni selfish.
Mbona unalia lia sasa?
 
Kama yeye ndo anatoa tu helaa bhasi hela ya mwanamke ni chunguu sanaa yani jehanamu ndogooo... ila hakuna mwanamke atakudharau kama unatoa matumizi ,unalipa kodi kama mmpanga.
Hela ya mwanamke ni tam bhana, ya mkeo huenda ndo chungu Sir Rick
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Huna watoto? Utaandikaje mdogo wako Kama una watoto mjinga wewe? Nina mifano kibao baba wadogo au wakubwa wanadhulumu mali za watoto baba yao akifa
 
Dah mala mseme tusipoowa tunakua mashoga
Tukioww mnatupapua

Nye wadada mnataka kitu gani???


By the way nadhani tunjifunza kutokana na mkosa

Jf imebadilisha system ya maisha yangu kwa kiasi kipana sana
Najiona kama nmekua na chembechembe za moyo Mkavu!!
Oa wewe ,maisha kila mtu ana yake.
 
Kwan kuna ulazima wakushirikiana? Au kuna ubaya gan kukataa? Mali natafuta kwa jasho langu halaf nikiandikia ndug zng uumie si utakua uchawi uwo
Hao ndugu zako hawawezi kujitafutia? Sijuagi kuna nini hapa kati mwanaume anaona ni bora amuandike hata mzazi wake ila mke na watoto watajijua sijuagi mna sababu gani.
 
Umesoma kisa hapo juu? Umekielewa?
Kama ndio basi huwezi kutoa lawama kwa maamuzi haya!

Dada yangu mambo yameshabadilika
Na huko tumakoenda ndoa zitapungua kama sio kuisha kabisa kabisa
Sasa unaowa ili iwaje?

Maisha ni tough sister
Pesa imekua ngumu sana sana
Hivyo bila ya AKILI hutoboi
Wakati huo Kumbuka unakimbizana na muda usikutupe mkono

Wewe kama mpenzi wangu unaona hustle zangu suppport yako ni muhimu ikiwa utapenda
Ikiwa hupend Siwez kukulazimisha ufanye

Ila kwa sasa hata mimi sitaki hata 100 ya woman kwenye mapambano yangu sababu hata kama hatutaachana bado kuna dhalau zipo ikiwa mtafanya kila kitu pamoja

[mention]Extrovert [/mention] amenipa kauli moja madhubuti hapo juu kua ufukara unazaa uchoyo

Mentality ya fedha kwenye vichwa vya wadada wakibongo ni mbaya mbaya mbaya
Ndio maana hata wewe huwez kua na mimi hadi ujue kwanza status yangu ki maendeleo (umiliki) ila pengine hata family status yangu ikawa mwishoni kwako (sio muhimu)
Nachukua notes[emoji3578]
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Unamuandika mdogo wako?!..bora hata umwandike mwanao..au umwandike kabisa huyo mkeo hata ukifa watoto itawahusu ila kumwandika mdogo wako wanao hawatapata chochote kwenye hiyo nyumba..tafakari upya!
 
Hatari sana,baadhi ya wanawake wakishika usukani utaona tuu vumbi
 
Back
Top Bottom