Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Sasa miaka 51 si utulie tu umuheshimu mkeo
Miaka 51 nani atamtaka huyo mwanaume sasa
 
Sasa miaka 51 si utulie tu umuheshimu mkeo
Miaka 51 nani atamtaka huyo mwanaume sasa
Wewe unaishi nchi gani hivi hujui mke wa marehemu Mrema au Manji walikua wasichana hata kukuzidi wewe ila waliolewa na watu wa miaka 70+ sembuse wa 50 tu.
 
Wewe unaishi nchi gani hivi hujui mke wa marehemu Mrema au Manji walikua wasichana hata kukuzidi wewe ila waliolewa na watu wa miaka 70+ sembuse wa 50 tu.
Walikuwa wanaishi chumba kimoja kwani??
 
Walikuwa wanaishi chumba kimoja kwani??
Kwani mwana mke analala kwenye vyimba vingapi kama sio sehemu ndogo ya chumba ya 6×6 mapenzi hayaangalie hidadi ya vyumba bibie labda wamachame
 
Kama ni wanandoa lazima watagawana... Hata kama vimeandikwa kwa jina la mwanamke. Atafute mwanasheria mzuri.
Ustawi walishasema inatakiwa uoneshe ushirika wako katika huo ujenzi
 
Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona.

"Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tuliokopa yote kununulia plot ya kujenga nyumba mpaka tukahamia kwa miaka 7 yote ilisimamiwa na mshahara wa Mrs wangu, ndo anaejulikana kwenye vikoba na saccos za kukopesha vifaa vya ujenzi"

Ndoa ni kama gari mbovu inafikia hatua unaichoka kuitengeneza unaamua kuipaki ukilazimisha unaweza kupata hata ajali barabani au kutumia gharama kubwa zaidi.

Mwaka huu ndoa yao imekuwa beyond repairable inabidi watengane na wagawane mali walizochuma wote, ila chakushangaza Ngosha hajapewa chochote kwasababu ushahidi uliopo unaonyesha kwamba ni pesa ya mwanamke ndo iliotumika kufanya maendeleo yote na hati ya nyumba iko kwenye majina ya mwanamke.

Kiufupi ni kwamba huyu mtumishi mwenzangu iko 51 yrs hana nyumba au vitu vya ndani kwasasa, itabidi aanze kutafuta upya kama fresh graduate.

Mimi nimemshauri akubaliane na matokeo aanze new mindset mambo ya mahakama itampotezea muda bure na kumpa psychological torture.
ugari moto mboga moto sahani moto
ovaaaar

subra muhm
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Ila mdogo wako akipata atajiandika yeye au mwenza wake
 
Hao ndio wanawake chako chao na chao kinabaki kuwa chao na familia ya kwao,ila ile familia mnayo ijenga ndani haimuhusu.

Sometimes huwaga na waelewa sana wanao amua kuoa wa mama wa nyumbani, halafu kesho kwenye MaTV utawasikia haki sawa,50/50.Sasa unajiuliza hii 50/50 ipo kwenye vitu gani?Hapo ndipo unapojua wanawake hata wanavyo jifanya kuvipigania hawajui nini maana yake, hizi harakati za usawa wa kijinsia sijui 50/50 ni mipango ya hizi NGO kupiga hela za wazungu.

Ila ushauri tu kwa wanaume wenzangu, husipigie budget hela ya mwanamke mara nyingi huambatana na dharau pamoja na kejeli na siku zote hela ya mwanamke ni chungu haijawahi kuwa tamu.
Afu 50/50 wao hawachangii chochote.
Wazungu wajanja sana, wao serikali zao hakuna 50/50 ila za kwetu ndo tumelazimishwa kuweka 50/50
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.

Achana na hiyo
Mwenzio nlituma money kwa mshua akaninunulia akaandika na jina lake kama mmikiki
Nlitak kusema huyu mshua aje!!!?

Ila juzi nmemuomba na nida yake nataka
Maji na umeme vipite hukohuko
Kifupi sina kitu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom