Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Mambo ya mapenzi bana, siwezi kumlaumu jamaa, hapo ata watoto utakuta sio wake
 
Siku zote tunawaambiaga msioe huko kwa akina manka wao wana uchu wa mali..haya sasa mtu kashaingizwa mkenge...
 
Siku zote tunawaambiaga msioe huko kwa akina manka wao wana uchu wa mali..haya sasa mtu kashaingizwa mkenge...
Lakini wote sio wabaya kuna wenye roho nzuri na huwezi kujua mbeleni kama atabadilika wanaanzaga vizuri ila basi tu
 
Mkuu kiukwel bor mali zangu zote nitakazo miliki ziwe kweny uwangaliz wa familia yng mpk wanangu watakapokuw wakubw ndio zihamishiwe kwao na kama njia iyo kisheria ipo bora nifanye ivo tu hakuna namna nyengine
Hivi nyie mshawahi kushuhudia mikasa wanayopata watoto baada ya wazazi wao kutangulia mbele za haki!! Kuna ndugu nyoko ww, wanadhulumu mali zote za familia na kuwaacha watoto kwenye ufukala mkubwa sana.
 
The Folks say, "choose wisely" ukichagua mtu ambaye sio wa aina yako kwa kigezo sijui ndo umempenda hivyo hivyo ni balaa. Mwanamke mbinafsi siku zote ataishia kukufedhehesha tu. Hawanaga maana hata kidogo.
Alafu we mzee sasa na ww uoe, umekuwa muoga sana! Hahaaaaaa
 
Mkuu nadhan huijui hela mwanamke ww unaisikia tu
Kama yeye ndo anatoa tu helaa bhasi hela ya mwanamke ni chunguu sanaa yani jehanamu ndogooo... ila hakuna mwanamke atakudharau kama unatoa matumizi ,unalipa kodi kama mmpanga.
 
Kuna kuoa na kufuga mwanamke. Mtu anayefuga mwanamke daima hawezi kuelewa dhima ya ndoa. Mie niko kwenye hayo mafundisho na nikiri namna ambavyo nilikuwa naichukulia ndoa ni the same way ambavyo yule mwalimu anaelekeza. Ndoa sio ligi wala mashindano ya kuoneshana nani mwamba.
Hongera kaka daaah hatimaye umekata shauri ww hutayumbishwa umepita kwanye miba mnooo!! Sijui demu gani huyu mwenye bahati ya kupita kwebye chekeche lako.
 
Lakini wote sio wabaya kuna wenye roho nzuri na huwezi kujua mbeleni kama atabadilika wanaanzaga vizuri ila basi tu
99% ya wakina manka wana uchu wa mali tena wanafundishwa hivyo na wazazi wao...yani ukutane nae yupo vizuri watamshauri aache ujinga wewe(mwanamume) uliemuoa sio ndugu yake...😀😀
 
Use brain Heriel,

Mkuu hati ya nyumba iko kwenye majina ya huyu mwanamke ilimlazimu baada ya kununua kiwanja aibadili aiweke kwenye majina yake ila apate mkopo mwingine wa kufanya finishing jamaa yangu hakusutuka kabisa, sasa hivi ndio ameanza kuona makosa when its too late
Kisheria Mali iliyopatikana ndani ya ndoa ni ya wote
 
Umeona sasa ujinga huu. Kwa nini ifikiriwe "Mwanaume ukifa". Unajua mikosi mingine tu naitengeneza sisi wenyewe.
Hujui maisha baada ya kifo chako itakuaje. Unaweza ukafa na miaka 30, umeachia mke mwenye miaka 26, na watoto wawili wadogo. Umeachia nyumba moja na Gari mbili.
Hiyo nyumba yako na magari yako yanaweza kuja kutumia na mwanaume mwingine. Chumba chako itakua chumba chake hicho na kitanda chako kitatumika kuzaa watoto wengine.
Jamaa anaposema atamwandika dada yake, mi nimemuelewa. Siwezi kuandika mtoto wangu inawezekana pia sio wa kwangu. Ila dada yangu nna uhakika ni dada yangu, damu yangu. Akaishi vizur na shemeji yangu [emoji16][emoji16]
Kuna mwamba ktk visa humu yy alikuwa akiishi town, akakubaliana na dada yake ambaye yuko mkoa tabora asimamie mashamba yake ya mpunga na sister kaolewa, jamaa kila akituma pesa kwa ajiri ya shamba dada akanunua bodaboda akampa mme wake na wakafanya mishe zingine...jamaa anaenda kuangalia maendeleo ya shamba patupu. Mungu atusaidie tu kupata wenza sahihi...maana hata ndugu sio malaika.
 
mtu anaeona mkewe hastahili kuandikwa kwenye mali ila ndugu zake ni TAHIRAAA.
 
Wazungu wao mali siyo kipaumbele chao ila furaha ndiyo kipaumbele chao utakuta msichana wakizungu anampa pesa na kumjengea Mpenzi wake waki Afrika na ndugu zake na wazazi wake hata hawa mkatazi na hawamuingili, kuna dada moja alikuwa na mpenzi wake mzungu kwa bahati mbaya huyo mzungu alifariki kwa ajari ya gari huyu mzungu kwao alizaliwa peke yatu kwaiyo huyo mzungu kwenye Account alikuwa na pesa nyingi tu lakini wazazi wa mzungu mali na pesa wakamuachia yule dada gari na pesa zote.
Yule aliemtapeli mali zote Emmanuel Eboue mchezaji wa arsenal alikuwa sio mzungu
 
Kuna mwamba ktk visa humu yy alikuwa akiishi town, akakubaliana na dada yake ambaye yuko mkoa tabora asimamie mashamba yake ya mpunga na sister kaolewa, jamaa kila akituma pesa kwa ajiri ya shamba dada akanunua bodaboda akampa mme wake na wakafanya mishe zingine...jamaa anaenda kuangalia maendeleo ya shamba patupu. Mungu atusaidie tu kupata wenza sahihi...maana hata ndugu sio malaika.
Hajauwa kwel uyo? 😁😂😂
 
Yule aliemtapeli mali zote Emmanuel Eboue mchezaji wa arsenal alikuwa sio mzungu
Ulaya sheria zipo wazi utapeli ulaya hakuna kule wanafata sheria na wanaamini haki za binadamu tofauti na sisi wa Africa ni jamii yaki jadi tunaishi kijadi Mwanaume ndiyo kila kitu kwenye familia anaweza kunya mahamuzi kwenye mali za famili bila ya mke kujulishwa, kwaiyo mkuu ukioa mzungu na ukaenda kuishi nchi ni kwao lazima tabia za kijadi uziache Airport.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Huna watoto?
 
Back
Top Bottom