Wa kike na ndo kwanz ako na 14 yearsHuyo dogo wa kike au wakiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kike na ndo kwanz ako na 14 yearsHuyo dogo wa kike au wakiume
Kuna kuoa na kufuga mwanamke. Mtu anayefuga mwanamke daima hawezi kuelewa dhima ya ndoa. Mie niko kwenye hayo mafundisho na nikiri namna ambavyo nilikuwa naichukulia ndoa ni the same way ambavyo yule mwalimu anaelekeza. Ndoa sio ligi wala mashindano ya kuoneshana nani mwamba.HUYO ANAKUWA SIO MKE ILA NI MDANGAJI AU MALAYA ANAYEJIUZA
TAFUTA MTU ALIYEFUNGA NDOA KANISANI, AKAHUDHURIA HADI MAFUNZO/SEMINA ZA NDOA AKUFUNDISHE MAANA YA NDOA AU MWILI MMOJA KISHA UANDIKE HUO ....WAKO HAPA
Ndoa sio mashindano bali ni kama ushirika flani wa kupanga na kutekeleza malengo ya pamoja. Ila ukiwa na partner anaehesabu we umefanya 5 yeye kafanya 6 badala ya kuangalia kuwa mmefikia lengo au laa hapo kazi unayo!Mkuu Mimi Naona wewe ndo mpumbavu anayeamua ku-asume kuwa kitu Fulani hakipo kumbe kipo, mwanamme anao wajibu wa kujua kipato Cha mke na mke vivyo hivyo, kama mke hawezi ishi kwenye hiyo Hali Ni Bora akasepa mapema.
Mke wangu Mimi Ni mtumishi , tumejenga na tunaishi kwa kuhudumia familia kwa pamoja,na tuna biashara ambayo msimamizi Mkuu Ni Mimi, ninachokiona wanaume aina yako Ni wale wanaumev wenye ubabe na wenye kupenda kutapeli, Mimi mke wangu hata akisema leo tugawane ili kila mtu ajue hamsini zake sioni shida mie, maana Mali hizi Ni mapito tu.
Mwanamke ana uwezo wa kupretend au kufake tabia kwa zaidi ya miaka miwili na sasa kama unataka kuona her true colours zaa nae au jenga nyumba ukiwa nae ndo utaanza kumuelewa, naonea huruma wenzetu wanao oa mke moja na hamna kuachana mpaka kifo, sijui wana wezaje kumanage hao wanawake loh.Hahahahahah wanawake wa hovyo hovyo sana hao. Likiwa linataka kuolewa ni zaidi ya malaika ila ukishaweka ndani utafrahia show.
kiumbe cha hatari sana mzee. Wale wamejitoa muhanga tu haina namna.Mwanamke ana uwezo wa kupretend au kufake tabia kwa zaidi ya miaka miwili na sasa kama unataka kuona her true colours zaa nae au jenga nyumba ukiwa nae ndo utaanza kumuelewa, naonea huruma wenzetu wanao oa mke moja na hamna kuachana mpaka kifo, sijui wana wezaje kumanage hao wanawake loh.
Mimi siko tayari kukosa amani na uhuru wangu kisa ndoa au mwanamke niko tayari ku-move on with a wife or without, we live once, kwa nini kiumbe kama mimi kinikoseshe amani hapana kwangu.Mwanamke ni
kiumbe cha hatari sana mzee. Wale wamejitoa muhanga tu haina namna.
Wewe una akili kama zangu, mi kuvumilia mateso kisa mapenzi au ndoa siweziMimi siko tayari kukosa amani na uhuru wangu kisa ndoa au mwanamke niko tayari ku-move on with a wife or without, we live once, kwa nini kiumbe kama mimi kinikoseshe amani hapana kwangu.
unadhani kugawana ni kirahisi hivyo kwa huyo mwanamke? tena mchaga wa machame hio ni vitaWagawane tu
Uwongooooo.... Huko huko uzunguni si ndipo pameshamiri ndoa za mikataba?Wanawake waki Tanzania mkuu, Mimi kuna marafiki zangu wameoa wazungu lakini wanatumia pesa za wake zao na wamejengewa Nyumba za kuishi na wamefunguliwa biashara kubwa, Tatizo dada zetu bado washamba wakumiliki pesa
Wazungu wao mali siyo kipaumbele chao ila furaha ndiyo kipaumbele chao utakuta msichana wakizungu anampa pesa na kumjengea Mpenzi wake waki Afrika na ndugu zake na wazazi wake hata hawa mkatazi na hawamuingili, kuna dada moja alikuwa na mpenzi wake mzungu kwa bahati mbaya huyo mzungu alifariki kwa ajari ya gari huyu mzungu kwao alizaliwa peke yatu kwaiyo huyo mzungu kwenye Account alikuwa na pesa nyingi tu lakini wazazi wa mzungu mali na pesa wakamuachia yule dada gari na pesa zote.Wanawake wa kizungu wanachukulia mapenzi kitofauti sana. Kwao pesa ni kitu cha kawaida wala hakina mahusiano na mapenzi yao kwa mtu. Mfano mmependana yeye atakupenda wewe jinsi ulivyo na anakuwa anataka zaidi attention yako, emotional support na kufurahia uwepo wako kwenye maisha yake. Hata uwe lofa huna hata sh.10 still upendo wake utakuwa 100% na kama yeye hela anazo mtatumia zake wala hajiulizi mara 2 mradi aone mna furaha tu.
Mwanamke wa kibongo ni kinyume kabisa, nafikiri sababu wengi wanatokea familia fukara. Unakuta yeye anawaza sana unampa nini au anafaidikaje na mahusiano yenu na kigezo kikubwa ni hela tu. Siku hela ikiwa haipo na mapenzi yanakuwa yamefika tamati. Au atakuvumilia mwanzoni kisha mbeleni anakugeuka kama hakujui vile. Wasichana wa kibongo tabia zao za hovyo sana totally parasitic. Kama hakunyonyi na kukufanya mashine ya Atm hamfiki mahali.
Mbaya zaidi afanye uwekezaji mkubwa kama huo wa ujenzi lazma ataishi kwa kukusimanga tu hadi ukome. Nyumba si kajenga yeye bwana.
Kweli mkuu, vijana wengi wamezoea ile sogea tuishi, hawajui hata maana ya NDOA.Kuna kuoa na kufuga mwanamke. Mtu anayefuga mwanamke daima hawezi kuelewa dhima ya ndoa. Mie niko kwenye hayo mafundisho na nikiri namna ambavyo nilikuwa naichukulia ndoa ni the same way ambavyo yule mwalimu anaelekeza. Ndoa sio ligi wala mashindano ya kuoneshana nani mwamba.
Mkuu kama anajinunulia vitu kwa pesa yake na anatagaza umemnunulia wewe mbona huyo mwanamke ndiyo mzuri inamaana akufichia madhaifu yako huyo ndo mzuri anaonekana ana akili sana, na unatakiwa uhaambie dada zako wasiingilie mambo ya familia yako na maswala ya mke wako.Mkuu bado hatujabarikiw mtt ila mda c mrefu tutakua nae na alipokuja na wazo ilo me mwenyewe nilimwambia atafuta sehem anunue kiwanja ajenge ya kwake na sio kwamba nafanya ivo kwa kumkoa wife hapan namjua mim mke wng na namuamini sana tu ila ni ana mdomo na kiburi hatar [emoji23] imagine anajinunulia vitu kwa hela zake ila status anawaringishia wifi zake kuwa nimemnunulia me yaani ni ake mwezi bila ya kutukanana na wifi zake ni kitu asichoweza kbs yaaan
Mkuu mpaka watoto watakapo jielewa wewe unajua utaishi miaka mingapi mfano ukifa leo na mkeo mjamzito na mali zote umeandika jina mdogo wako unafikiri itakuwaje kwa watoto wako? We unajua Marengo ya huyo mdogo wago na yeye ana Marengo yake hizo mali ulizo mmilikisha zitaleta mgogoro mkubwa mfano unawatoto 5, na mdogo wako ana watoto 5 na mali zako umemuandikisha huyo mdogo wako kwa bahati mbaya akafariki unafikiri hizo mali zako utazipata? Kisheria hizo mali ni za mke na watoto wa mdogo wako ndiyo wakuwa wa rithi na siyo wewe na mke wake na watoto watakuona kama mdhurumaji.Cn mtt ata 1 kwa sas nitakuja kuandikia hapo baadae nikishakua nao na wawe washajielew kdg ila kwa sas hpn
Hao wazungu ni wa wapi mnao semea hizo ni isolated stories sie ambao tulishawahi kuishi kwao hususani Western Europe hao watu mna exagulate sana wanacho tuzidi ni kua honest na kua wa kweli tu, lakini kwenye pesa their worse na kuua wanaweza acha tu.Wazungu wao mali siyo kipaumbele chao ila furaha ndiyo kipaumbele chao utakuta msichana wakizungu anampa pesa na kumjengea Mpenzi wake waki Afrika na ndugu zake na wazazi wake hata hawa mkatazi na hawamuingili, kuna dada moja alikuwa na mpenzi wake mzungu kwa bahati mbaya huyo mzungu alifariki kwa ajari ya gari huyu mzungu kwao alizaliwa peke yatu kwaiyo huyo mzungu kwenye Account alikuwa na pesa nyingi tu lakini wazazi wa mzungu mali na pesa wakamuachia yule dada gari na pesa zote.