Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Kinacho sababisha hayo yote ni kipato duni cha watumishi kwa mfano unapokea take home 500k unaishi Dar kweli hiyo pesa utaweza kutoboa kimaisha unalazimika kutafuta mwenzako mwenye mshahara kama huo, hamna mwanaume anae penda kusaidiwa na demu ila tu ndohivo
Umeongea kwa uchungu sana ila huo ndio ukweli wenyewe.
 
Wewe unaongelea kusaidiana wakati wengine wanaumme wana olewa kabisa na wanakua chini ya mwanamke mwenye kipato, omba ya sikukute tu.
Maisha ya ndoa yana mengi sana, watu wanachukuliaga poa tu. Mtu unakuta ameanza vyema ila mishe zikabuma, demu ana ramani so lazma aendeshe mambo kwa muda.
 
Hamna alio jua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona.

"Kwa sababu wote tuli kua wa tumishi tuli kubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tulio kopa yote kununulia plot ya kujenga nyumba mpaka tuka hamia kwa miaka 7 yote ilisimamiwa na mshahara wa Mrs wangu, ndo anae julikana kwenye vikoba na saccos za kukopesha vifaa vya ujenzi"

Ndoa ni kama gari mbovu inafikia hatua unaichoka kuitegeneza una amua kuipaki ukilazimisha unaweza kupata hata ajali barabani au kutumia gharama kubwa zaidi.

Mwaka hu ndoa yao imekua beyond repairable inabidi wa tengane na wa gawane mali walizo chuma wote, ila chakushangaza Ngosha hajapewa chochote kwasbb ushahidi uliopo unaonyesha kwamba ni pesa ya mwanamke ndo iliotumika kufanya maendeleo yote na hati ya nyumba iko kwenya majina ya mwana mke.

Kiufupi ni kwamba huyu mtumishi mwenzangu iko 51yrs hana nyumba au vitu vya ndani kwasasa, itabidi aanze kutafuta upya kama fresh graduate.

Mimi ni memshauri akubaliane na matokeo aanze new mindset mambo ya mahaka itampotezea mda bure na kumpa psychological torture.
Sheria haisemi hivyo

Hao wamefanya mambo kienyeji.
 
Wanawake waki Tanzania mkuu, Mimi kuna marafiki zangu wameoa wazungu lakini wanatumia pesa za wake zao na wamejengewa Nyumba za kuishi na wamefunguliwa biashara kubwa, Tatizo dada zetu bado washamba wakumiliki pesa
Wanawake wa kizungu wanachukulia mapenzi kitofauti sana. Kwao pesa ni kitu cha kawaida wala hakina mahusiano na mapenzi yao kwa mtu. Mfano mmependana yeye atakupenda wewe jinsi ulivyo na anakuwa anataka zaidi attention yako, emotional support na kufurahia uwepo wako kwenye maisha yake. Hata uwe lofa huna hata sh.10 still upendo wake utakuwa 100% na kama yeye hela anazo mtatumia zake wala hajiulizi mara 2 mradi aone mna furaha tu.

Mwanamke wa kibongo ni kinyume kabisa, nafikiri sababu wengi wanatokea familia fukara. Unakuta yeye anawaza sana unampa nini au anafaidikaje na mahusiano yenu na kigezo kikubwa ni hela tu. Siku hela ikiwa haipo na mapenzi yanakuwa yamefika tamati. Au atakuvumilia mwanzoni kisha mbeleni anakugeuka kama hakujui vile. Wasichana wa kibongo tabia zao za hovyo sana totally parasitic. Kama hakunyonyi na kukufanya mashine ya Atm hamfiki mahali.

Mbaya zaidi afanye uwekezaji mkubwa kama huo wa ujenzi lazma ataishi kwa kukusimanga tu hadi ukome. Nyumba si kajenga yeye bwana.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki ata kdg kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukwel kwamb sitaki ata 100 yake [emoji23] na nyumba yng nikimaliza namuandikia mdog wng
Don't do this Mkuu, utaleta ugomvi mkubwa sana hapo baadae, wewe andika jina lako kwenye hiyo hati, na Kama huwezi kuandika jina lako andika jina la mtoto wako wa kuzaa wewe.

Tuna Kesi mahakamani yenye scenario Kama hii, huu Ni mwaka wa pili bado inaunguruma. Look very
 
Hii kanuni yakipumbavu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wenzangu sijui itakoma lini, unampangia majukumu mkeo? Mshahara wake? We ni mwehu? Mwanaume tumia kipato chako kuhudumia familia yako, waishi kulingana na kipato chako, acha kutaka maisha ya juu kwakutegemea pesa ya mke. Kama unapata milion na mkeo anakusanya milion 5, panga ratiba na matumizi yako kulingana na milion, mkeo achana na pesa zake, akitaka kujitolea hewala ila usimpangie na jenga kibanda kwa pesa zako, u ajengewaje? Wanaume tunazidi kupungua
Sasa si ukaoe tu maza wa nyumbani ijulikane moja mkuu.
 
Hii kanuni yakipumbavu inayotumiwa na baadhi ya wanaume wenzangu sijui itakoma lini, unampangia majukumu mkeo? Mshahara wake? We ni mwehu? Mwanaume tumia kipato chako kuhudumia familia yako, waishi kulingana na kipato chako, acha kutaka maisha ya juu kwakutegemea pesa ya mke. Kama unapata milion na mkeo anakusanya milion 5, panga ratiba na matumizi yako kulingana na milion, mkeo achana na pesa zake, akitaka kujitolea hewala ila usimpangie na jenga kibanda kwa pesa zako, u ajengewaje? Wanaume tunazidi kupungua
Mkuu Mimi Naona wewe ndo mpumbavu anayeamua ku-asume kuwa kitu Fulani hakipo kumbe kipo, mwanamme anao wajibu wa kujua kipato Cha mke na mke vivyo hivyo, kama mke hawezi ishi kwenye hiyo Hali Ni Bora akasepa mapema.

Mke wangu Mimi Ni mtumishi , tumejenga na tunaishi kwa kuhudumia familia kwa pamoja,na tuna biashara ambayo msimamizi Mkuu Ni Mimi, ninachokiona wanaume aina yako Ni wale wanaumev wenye ubabe na wenye kupenda kutapeli, Mimi mke wangu hata akisema leo tugawane ili kila mtu ajue hamsini zake sioni shida mie, maana Mali hizi Ni mapito tu.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki ata kdg kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukwel kwamb sitaki ata 100 yake [emoji23] na nyumba yng nikimaliza namuandikia mdog wng
Andika mdogo wako ili kesho nae aoe/ aolewe halafu mwenza wake amshawishi wachukulie mkopo au wadai mali yao. Kuandika majina ya ndugu au wazazi yamewacost wengi sana kuna visa kadhaa watu wanapoteza mali zao kisa waliandika ndugu au wazazi. Jenga nyumba andika jina lako au mwanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona.

"Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tuliokopa yote kununulia plot ya kujenga nyumba mpaka tukahamia kwa miaka 7 yote ilisimamiwa na mshahara wa Mrs wangu, ndo anaejulikana kwenye vikoba na saccos za kukopesha vifaa vya ujenzi"

Ndoa ni kama gari mbovu inafikia hatua unaichoka kuitegengeza unaamua kuipaki ukilazimisha unaweza kupata hata ajali barabani au kutumia gharama kubwa zaidi.

Mwaka huu ndoa yao imekuwa beyond repairable inabidi watengane na wagawane mali walizochuma wote, ila chakushangaza Ngosha hajapewa chochote kwasababu ushahidi uliopo unaonyesha kwamba ni pesa ya mwanamke ndo iliotumika kufanya maendeleo yote na hati ya nyumba iko kwenye majina ya mwanamke.

Kiufupi ni kwamba huyu mtumishi mwenzangu iko 51 yrs hana nyumba au vitu vya ndani kwasasa, itabidi aanze kutafuta upya kama fresh graduate.

Mimi nimemshauri akubaliane na matokeo aanze new mindset mambo ya mahakama itampotezea muda bure na kumpa psychological torture.
Ngosha mtajifunza lini?
Mwanaume kichwa cha nyumba, ukisha mkabidhi bibie, tena Bibie mmachame au mpalestina akuongoze ujue mawili, aidha kifo cha mapema au kuachwa solemba mbele ya safari.
Ngosha wenzangu mtajifunza lini?
 
Mkuu Mimi Naona wewe ndo mpumbavu anayeamua ku-asume kuwa kitu Fulani hakipo kumbe kipo, mwanamme anao wajibu wa kujua kipato Cha mke na mke vivyo hivyo, kama mke hawezi ishi kwenye hiyo Hali Ni Bora akasepa mapema.

Mke wangu Mimi Ni mtumishi , tumejenga na tunaishi kwa kuhudumia familia kwa pamoja,na tuna biashara ambayo msimamizi Mkuu Ni Mimi, ninachokiona wanaume aina yako Ni wale wanaumev wenye ubabe na wenye kupenda kutapeli, Mimi mke wangu hata akisema leo tugawane ili kila mtu ajue hamsini zake sioni shida mie, maana Mali hizi Ni mapito tu.
Bado hujakua wewe, subiri mama achepuke ndo utaona rangi za dunia.
 
Bado hujakua wewe, subiri mama achepuko ndo utaona rangi za dunia.
Wee wa ajabu kweli,kuchepuka kwa mke wangu Mimi hakunihusu hata kidogo,Mimi Nina miaka kumi na tano kwenye ndoa yangu,sio kijana Mimi,na hiyo ndo mifumo yangu,tatizo lenu vijana mnawaza upuuzi ,eti mke kuchepuka ,Sasa shida iko wapi,nikivumilia namsamehe ,nikishindwa tuanaachana.
 
Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Una matatizo ya AKILI.
 
Wee wa ajabu kweli,kuchepuka kwa mke wangu Mimi hakunihusu hata kidogo,Mimi Nina miaka kumi na tano kwenye ndoa yangu,sio kijana Mimi,na hiyo ndo mifumo yangu,tatizo lenu vijana mnawaza upuuzi ,eti mke kuchepuka ,Sasa shida iko wapi,nikivumilia namsamehe ,nikishindwa tuanaachana.
Hongera.
Chukua miaka yako ya ndoa, zidisha mara mbili na nusu na unapata miaka yangu.
Kua uyaone.
 
Mkuu Mimi Naona wewe ndo mpumbavu anayeamua ku-asume kuwa kitu Fulani hakipo kumbe kipo, mwanamme anao wajibu wa kujua kipato Cha mke na mke vivyo hivyo, kama mke hawezi ishi kwenye hiyo Hali Ni Bora akasepa mapema.

Mke wangu Mimi Ni mtumishi , tumejenga na tunaishi kwa kuhudumia familia kwa pamoja,na tuna biashara ambayo msimamizi Mkuu Ni Mimi, ninachokiona wanaume aina yako Ni wale wanaumev wenye ubabe na wenye kupenda kutapeli, Mimi mke wangu hata akisema leo tugawane ili kila mtu ajue hamsini zake sioni shida mie, maana Mali hizi Ni mapito tu.
Mshukuru Mungu unamwana mke mwelewa, ila kwa hali kama hiyo utakua umesurrender haki zingine za wanaumme unateseka kisaikolojia, huwezi kufanya 50 kwa 50 na mke wako maanake ana ku-control mambo mengine. Sawa kuna wanaumme wengine wana chembe chembe za harmonies za kike hilo aliwasumbue ila kwangu I rather abandoned you kuliko kuwacontroled na demu kisa maendeleo.
 
Tupo wote. Lakini unapooa ni vema kuangalia mbali zaidi ya "kusaidiwa" na mwanamke. Kwa utamaduni na asili yangu, nikioa ili nisaidiwe ni aibu sana. Sijalibadilisha akili mwangu. Bibie wangu hata kama ana kazi na mshahara, huo ni wake na watoto. Simuulizi chochote. Akiamua atoe. Akikataa ni sawa. That's the benefit of being a man with a gun, fella!

Hakuna uhuru usio na mipaka, mpe uhuru usio na mipaka mwanamke (iwe financially au socially) ipo siku utajuta.
 
Back
Top Bottom