Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Wee wa ajabu kweli,kuchepuka kwa mke wangu Mimi hakunihusu hata kidogo,Mimi Nina miaka kumi na tano kwenye ndoa yangu,sio kijana Mimi,na hiyo ndo mifumo yangu,tatizo lenu vijana mnawaza upuuzi ,eti mke kuchepuka ,Sasa shida iko wapi,nikivumilia namsamehe ,nikishindwa tuanaachana.
Mmh !!!! hilo gumu kumeza kamanda kacheck jinsia yako vizuri usije akawa una double genda.
 
Mkuu mbona una roho hiyo kwani wewe hauna watoto husiwe na roho hiyo husiwachukie wanawake huyo umesema ni mke wako tena kajitokeza kukopa pesa kwaajili ya familia lakini we hutaki" sasa wanawake wakitumia pesa zao peke yao tuna walaumu, mfano huyo mke wako angekopa pesa akajega nyumba yake naamini ungekuja hapa kuleta mada, Huyo mdogo wako ukimuandika kwenye hati ya nyumba au mali zako humkomoi huyo mkeo bali unawakomoa watoto wako ndiyo watakuja kuteseka. Nimeanza kuwaelewa Wanzugu kwanini wanamjali sana mwanamke na watoto kuna pakujifunza hapa, Tatizo sisi wa Africa tunaamini mali ndiyo kila kitu yani tunaweza kufanya jambo baya kuwaajiri tu ya kupata mali.
Mkuu bado hatujabarikiw mtt ila mda c mrefu tutakua nae na alipokuja na wazo ilo me mwenyewe nilimwambia atafuta sehem anunue kiwanja ajenge ya kwake na sio kwamba nafanya ivo kwa kumkoa wife hapan namjua mim mke wng na namuamini sana tu ila ni ana mdomo na kiburi hatar 😂 imagine anajinunulia vitu kwa hela zake ila status anawaringishia wifi zake kuwa nimemnunulia me yaani ni ake mwezi bila ya kutukanana na wifi zake ni kitu asichoweza kbs yaaan
 
Ana watoto?Nimewaza sana uliposemaWamachame Mungu anawaona...
 
Don't do this Mkuu, utaleta ugomvi mkubwa sana hapo baadae, wewe andika jina lako kwenye hiyo hati, na Kama huwezi kuandika jina lako andika jina la mtoto wako wa kuzaa wewe.

Tuna Kesi mahakamani yenye scenario Kama hii, huu Ni mwaka wa pili bado inaunguruma. Look very
Mkuu kiukwel bor mali zangu zote nitakazo miliki ziwe kweny uwangaliz wa familia yng mpk wanangu watakapokuw wakubw ndio zihamishiwe kwao na kama njia iyo kisheria ipo bora nifanye ivo tu hakuna namna nyengine
 
Andika mdogo wako ili kesho nae aoe/ aolewe halafu mwenza wake amshawishi wachukulie mkopo au wadai mali yao. Kuandika majina ya ndugu au wazazi yamewacost wengi sana kuna visa kadhaa watu wanapoteza mali zao kisa waliandika ndugu au wazazi. Jenga nyumba andika jina lako au mwanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cn mtt ata 1 kwa sas nitakuja kuandikia hapo baadae nikishakua nao na wawe washajielew kdg ila kwa sas hpn
 
Ana watoto?Nimewaza sana uliposemaWamachame Mungu anawaona...
Mkuu wana watoto watatu na huyu bibie wamachame, ila huyu mwanaume hiyo ndoa ni ya pili ya kwanza elishindikana pia.
 
Mkuu wana watoto watatu na huyu bibie wamachame, ila huyu mwanaume hiyo ndoa ni ya pili ya kwanza elishindikana pia.
Kama mwanamke ninjeur apambane mahakamani, Mahakama itatoa Haki Kwa wote halafu yeye anaweza mruhusu huyu mwanamke akae Nayo Kwa ajili ya watoto, Muda mwingne Mahakama inaweza toa amri kuwa nyumba ni ya watoto, afanye HiVi ilikuweka rekord saw a.
Hana Cha kupoteza adai Haki yake! Na hukumu yake itakuwa funzo Kwa mfumo jike unaotka kujitutumua.
 
Kama ana ndoa kamili aende mahakamani.. inakuwaje na yye anakubali kutoka kirahis kwenye nyumba coz mke alijenga na yeye akiwa anatimiza majukumu mengine. Hapa ndipo atapta pumziko la nafsi, na Nina uhakika atashinda tu, na Baada ya Hapo anaweza kumuachia mwanamke aendelee kuishi ila kaheshima katakuwepo. Asisikilize maneno ya Watu??
Wanaume watamjaza bichwa kwenda kudai Haki kama baba wa familia ni udhaifu wakati wana mtoto.
 
Kama mwanamke ninjeur apambane mahakamani, Mahakama itatoa Haki Kwa wote halafu yeye anaweza mruhusu huyu mwanamke akae Nayo Kwa ajili ya watoto, Muda mwingne Mahakama inaweza toa amri kuwa nyumba ni ya watoto, afanye HiVi ilikuweka rekord saw a.
Hana Cha kupoteza adai Haki yake! Na hukumu yake itakuwa funzo Kwa mfumo jike unaotka kujitutumua.
Mwanamke mwenye guts za kukwambia utoke kwenye nyumba mliojenga kwa ajili ya familia na watoto unahisi atakuwa sio jeuri? Hadi anafikia hapo amevumilia mengi sana huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom