- Thread starter
- #21
Wewe unaongelea kusaidiana wakati wengine wanaume wanaolewa kabisa na wanakuwa chini ya mwanamke mwenye kipato, omba ya sikukute tu.Mwanaume mwenye akili timamu unatafutaje mwanamke ili msaidiane maisha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaongelea kusaidiana wakati wengine wanaume wanaolewa kabisa na wanakuwa chini ya mwanamke mwenye kipato, omba ya sikukute tu.Mwanaume mwenye akili timamu unatafutaje mwanamke ili msaidiane maisha!!!
Ndo hapo sasa!! eti anatafuta mwanamke msomi na mwenye akili kwamba yeye hana akili timamu anataka za mwanamke.😂😂😂😂wasukuma bhana!!Mwanaume mwenye akili timamu unatafutaje mwanamke ili msaidiane maisha!!!
Ukweli mtupu sema wazungu ndo wanaharibu hiiMwanaume oa ili mwanamke atimize matakwa yako na sio utimize matakwa yake
Kama ni kazi muachishe afanye kazi yako akiwa kama mwangalizi na sio mmiliki.
Hamna makosa hapo, hayo ni matokeo sio makosa, ipo wazi kwamba ukishakubali kushare majukumu ya uwekezaji na mkeo basi mavuno ni ya mke na watoto wako. Ukitaka uhuru Jenga asiweke hata tofali, mwambie tu mke wangu tutakaa hapa.Mkuu hati ya nyumba iko kwenye majina ya huyu mwana mke ilimlazimu baada yakununua kiwanja aibadili aiweke kwenye majina yake ila apate mkopo mgine wa kufanya finishing jamaa angu hakusutuka kabisa, sasa hivi ndo ameanza kuona makosa when its too late
Mimi nisaidie hapa, mtu mwenye 51yrs, unasema mtoto wake mkubwa ni 11yrs, nini kilitokea hapo katikati, kama ni mambo ya uzazi sawa, lakini kama alioa na kuzaa akiwa almost 40yrs huyu ana matatizo makubwa,Ngosha tayari kasha pata single room ila ule mtoto mkubwa mwenye 11yrs inabidi aondoke nae kwasasa iko shule ya bweni ila wakifunga itambidi apate mschana wakazi au aoe tena, otherwise atamshinda kulea
Ndoa ya kwanza ilikufa ila hakubatika kuzaa hiyo ndo ilikuwa ya pili, hana matatizo yoyote yule ni jama mtumishi safi limemkuta tu kama wengine.Mimi nisaidie hapa, mtu mwenye 51yrs, unasema mtoto wake mkubwa ni 11yrs, nini kilitokea hapo katikati, kama ni mambo ya uzazi sawa, lakini kama alioa na kuzaa akiwa almost 40yrs huyu ana matatizo makubwa,
Umri umeenda kidogo pia mshahara wake sio mzuri sana itambidi apambane hasaa kuanza upyaNgosha ze don asiwaze hata,
azame chimbo aanze moja peke yake colabo hazilipi kwasasa.
Tiki kubwaWewe na huyo rafiki YAKO nyote ni wanawake .. hamjakomaa kiakili ...
Mwanaume ndiye mjenzi, ndiye mmiliki ova.
Huyo mmachame hana kosa
Na wanakuwaga na uchungu na Hela zao unakuta amekuzidi mshahara lakini anakodolea sana za kwako kidogoTupo wote.Lakini unapooa ni vema kuangalia mbali zaidi ya "kusaidiwa" na mwanamke.Kwa utamaduni na asili yangu,nikioa ili nisaidiwe ni aibu sana.Sijalibadilisha akili mwangu.Bibie wangu hata kama ana kazi na mshahara,huo ni wake na watoto.Simuulizi chochote.Akiamua atoe.Akikataa ni sawa.That's the benefit of being a man with a gun,fella!
Ndyo amempata sasaNdo hapo sasa!! eti anatafuta mwanamke msomi na mwenye akili kwamba yeye hana akili timamu anataka za mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasukuma bhana!!