Hili nalo ni jambo la kujisifu hadharani?
Ulimuoa wa nini sasa kama mambo yenyew ndio hayo
Umesoma kisa hapo juu? Umekielewa?
Kama ndio basi huwezi kutoa lawama kwa maamuzi haya!
Dada yangu mambo yameshabadilika
Na huko tumakoenda ndoa zitapungua kama sio kuisha kabisa kabisa
Sasa unaowa ili iwaje?
Maisha ni tough sister
Pesa imekua ngumu sana sana
Hivyo bila ya AKILI hutoboi
Wakati huo Kumbuka unakimbizana na muda usikutupe mkono
Wewe kama mpenzi wangu unaona hustle zangu suppport yako ni muhimu ikiwa utapenda
Ikiwa hupend Siwez kukulazimisha ufanye
Ila kwa sasa hata mimi sitaki hata 100 ya woman kwenye mapambano yangu sababu hata kama hatutaachana bado kuna dhalau zipo ikiwa mtafanya kila kitu pamoja
[mention]Extrovert [/mention] amenipa kauli moja madhubuti hapo juu kua ufukara unazaa uchoyo
Mentality ya fedha kwenye vichwa vya wadada wakibongo ni mbaya mbaya mbaya
Ndio maana hata wewe huwez kua na mimi hadi ujue kwanza status yangu ki maendeleo (umiliki) ila pengine hata family status yangu ikawa mwishoni kwako (sio muhimu)