Kwahiyo mtu akitembea peku anapigwa shotiHuna hoja ya kubishana na mimi..
Mi ni fundi mkuu nimesoma umeme miaka miwili...
Labda niulize chochote kuhusu umeme nikujibu..
Nimesoma umeme toka form 4 na nimetoka na 1 kali ya physics
Adv nimesoma PCM nimesoma umeme wa advance..
Sasa sijui unataka kunirekebisha nini hapo...
Unatanguliza neno unadhani.. mbele yangu..
Bachelor in what?Inaanza na neno bachelor in degreee in physics
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inaanza na neno bachelor in degreee in physics
Hamna course ya miaka minne tena BAED UDOM, tovuti ya UDOM inakupinga vikali, course ni miaka mitatu. Unabishana na prospectus za chuo?Nimesoma miaka miinne pale naelewa naongea nini nimesema nilete na notice hapa au nilete namba za malecture walionifundisha pale .
Why people mnakua wabishi na mnashadadia vtu ambavyo hamna elimu navyo
Samary????? Duh!Ipo CNMs pale udom ..
Kuna physics in education na physics with education...
Umenipata hapo au bado unataka full Sammary
The University Of Dodoma.Kama wewe umetoa kwenye tovuti unazani hyo CHATGPT HYO TAARIFA IMEJITUNGIA AU...
MKUU EBU BEFORE UJAFANYA KITU THINK TWICE
NIMEKUACHA.Ipo CNMs pale udom ..
Kuna physics in education na physics with education...
Umenipata hapo au bado unataka full Sammary
Mkuu umesoma umeme upande wa Electromagnetism si ndioNdio au kuna shida..
Uliza nipo.hapa
Akijibu kwa kutumia akili zake nahamia Burundi.Majibu
Karibu mkuu
Uliza chochote
Mkuu naona haupo mbali na huu mtanange, bora mimi walau likes natoa kwa wadau ila wewe kimya kimya tu.Mkuu naona unafuatilia mtanange kimya kimya!
Amen, uwe mwaminifu.Tulia nishakukalisha kwa hoja madhubuti
Na saa tisa nakuja
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimetoa toa kwa comments zilizoshiba.Mkuu naona haupo mbali na huu mtanange, bora mimi walau likes natoa kwa wadau ila wewe kimya kimya tu.
Hahahahahahaha.
Mkuu umesoma umeme upande wa Electromagnetism si ndio
Naomba nisaidie maswali haya
1.Ni nini kinacho determine the powerfulness of magnetism,kupitia jibu lako nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.
2.Ni namna gani eneo la uzalishaji wa magnetism inaweza affect nguvu ya electromagnetism nipe kanuni itakayo sadifu maelezo yako.
3.Nitajie vyanzo vya kuzalisha electromagnetism na niambie kipi bora zaidi na uthibitishe ubora huo kupitia kanuni za kila chanzo kuonyesha ubora wake..
Nawakilisha
NOTE:Usitumie chatGPT sababu majibu ya mfumo huo ni ya ki A.I yanajulikana..
Karibu...
Poor BrainMAJIBU PLEASE SWALI HILI UMELISAHAU.
Maswali yangu ni haya...
1. Waves gani(Hz) zinazo pita kirahisi katika Object isiyo ya chuma mfano jiwe au ukuta wenye nchi 7
2.Ni mfumo upi unaweza kirahisi kuzalisha waves hizo
3.Naweza pata suggestion circuit ya ku generate hizo frequency(Prototype)
4.Nini madhara ya Frequency 100Hz dhidi ya 1,000,000,000 Hz katika object kulingana na upana wake bila kuzidi upana wa cm 32cm