The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Udom kuna kozi inaitwa physics in education?Nimesoma physics in education...
General physics ni part ndogo sana katika kozi yangu na nimesoma sasa unataka kubishana na ndio au..
Nimesoma dodoma udom miaka minne na umeme nimesoma
NIJIBU,UDOM KUNA GENERAL PHYSICS KWA MIAKA MINNE?Mkuu nadhalilisha vipi mbona unataka mambo yawe mengi..
Unajua unachoongea hapa lakini
Jamaa ni mtu fulani mjinga sana.Dude man kama hata kirefu cha EE hufahamu, i wonder umesoma chuo gani?
Tena education
Kukusaidia ni short term of Electrical Engineering
UDOM GENERAL PHYSICS MIAKA MINNE?Nimesoma physics in education...
General physics ni part ndogo sana katika kozi yangu na nimesoma sasa unataka kubishana na ndio au..
Nimesoma dodoma udom miaka minne na umeme nimesoma
Nimesema nimesoma udom miaka minne physics in educationDude man kama hata kirefu cha EE hufahamu, i wonder umesoma chuo gani?
Tena education
Kukusaidia ni short term of Electrical Engineering
Nimekwambia hv mkuu huo umeme nimesoma na hapa nilipo.nipp sehemu ambayo na apply umeme kila siku..Udom kuna kozi inaitwa physics in education?
kwa miaka minne?
semester mbili za mwisho wanasoma ELECTROMAGNETISM?
halafu kusoma ELECTROMAGNETISM ndio kusoma umeme?
kuna sehemu hapo umeshindwa kujua EE ni nini ,na unasema ni upotoshaji, je wao waliojiita IEEE unawajua na je ni upotoshaji pia?
Nimesa generally phslys kama part..NIJIBU,UDOM KUNA GENERAL PHYSICS KWA MIAKA MINNE?
NI KOZI GANI HII?
WEWE NI MPOTOSHAJI MKUBWA.
Naujua umeme zaidi ya unavozania sijui kama unaelewa hilo mkuu...UDOM GENERAL PHYSICS MIAKA MINNE?
PHYSICS IN EDUCATION?
UMEME KWENYE ELECTROMAGNETISM?
WEWE NI MTU MUONGO SANA.
Huna hoja sasa kwanini ukuandika kwa urefu ili watu wajue hapa...Dude man kama hata kirefu cha EE hufahamu, i wonder umesoma chuo gani?
Tena education
Kukusaidia ni short term of Electrical Engineering
PHYSICS IN EDUCATION NI KOZI GANI HII UDOM PALE?Nimesema nimesoma udom miaka minne physics in education
Mtu wa umeme hujui EE ni nini?Huna hoja sasa kwanini ukuandika kwa urefu ili watu wajue hapa...
Mkuu naomba nikuulize kitu tena ni kipimo kidogo tuu..
Ipo CNMs pale udom ..PHYSICS IN EDUCATION NI KOZI GANI HII UDOM PALE?
HUJUI LOLOTE.Naujua umeme zaidi ya unavozania sijui kama unaelewa hilo mkuu...
Nimebobea na hapa najua nachoongea sasa sijui unataka uthibitisho upi wewe mkuu
PHYSICS IN EDUCATION mara GENERAL PHYSICS,HIZI NI KOZI GANI?Nimesa generally phslys kama part..
Naona unataka kunichanganya mkuu
Kila mtu anaweza akatafsili kivyake hilo neno mkuu mbona unashindwa jiongezaMtu wa umeme hujui EE ni nini?
Wewe ndio Una utaalamu wa umeme?
Mbona kichwa kitupu hiki nakuona.
Hoja huna..HUJUI LOLOTE.
TOA TAKATAKA ZAKO HAPA.
Wewe umenizidi nini?Nimekwambia hv mkuu huo umeme nimesoma na hapa nilipo.nipp sehemu ambayo na apply umeme kila siku..
Sijapitoaha mtu ila wabongo mnapokutana na mtu aliyewazidi kitu huwa mnamshambulia sana shame upon you all
Kwanza hakuna bachelor of education yenye 4 years UDOM, na ulichomea last i check hapo UDOM ni 3 yearsNimesema nimesoma udom miaka minne physics in education
MTU WA UMEME HUJUI EE NI NINI?Kila mtu anaweza akatafsili kivyake hilo neno mkuu mbona unashindwa jiongeza
Hii dhana ni sawa na tukisema jua linapanda ikifika saa 6 litakuwa juu au2. Ukikuta umehisi umerushwa na umeme maana yake umeme uliingilia mifumo yako ya fahamu na ukashindwa kukushika(kukunasa,kulukausha maji),hali iliosababisha wewe kupata hitirafu ya fahamu,ya kumbukumbu ambapo ulihama mwenyewe eneo moja kwenda jingine bila kujitambua...
Fahamu kua mfumo wa fahamu wa binadamu huwasiliana kwa njia ya umeme..na ikitokea umeme wa ziada umeingia katika mwili hupelekea mfumo huo kuvurugika...