Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

Jibu swali acha mihemko utakuwa tayari kusaidia wazazi wake ili yeye awe mama wa nyumbani, na hata hivyo huo ndio utamaduni wa tangu enzi wa jamii nyingi za kiafrika kwamba mume anasaidia familia ya mke kiuchumi huku mke anasaidia familia ya mume kwenye shughuli mbalimbali za kifamilia, acheni kujifanya eti sijui kaoleweni na familia zenu mbona ninyi wenyewe pamoja na kuwalalamikia wanawake kila siku na wengine kujifanya hadi wanatishia kukataa ndoa ila bado wanaendelea kuoa
 
huu uzi sijawaandikia enyi mafeminist mbuzi usome tena hata heading nime address kwa wanaume. Sasa wewe na maujuaji yako tulia
Mjomba mbona umepanic hebu relax, nimekuuliza vipi na wewe hutasomesha binti zako ili waje kuwa wamama wa nyumbani, tujadili kwa hoja ukianza matusi na ad hominem attacks maana yake umeishiwa hoja na hilo linadhihirisha upeo wako
 
Ngoj nianze mazoez ya kukaa tu nyumbani ili nije kudumu kwenye ndoa 😌

Wasije wakakudanganya hawa Vijana wasiojiamini na wenye mawazo ya kijinga.

Wake wa mitume na wenye majina makubwa wote hakuna hata mmoja aliyekuwa mama wa nyumbani wa kukaa tuu wote walikuwa wanafanya kazi.

Nabii Musa, Mkewe alikuwa anachunga ng'ombe za Babaake. Na walikutana na Musa Wakati Sipora akiwa machungani.

Mtume Muhamad, mkewe Bi. Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa na anapesa nyingi kuliko Muhamad mwenyewe.

Nabii Isaka, mkewe alikuwa mchungaji wa ng'ombe, Rebecca

Adamu, mkewe Eva alikuwa Mkulima.
 

😀😀

Kila mtu ataoa size yake.
Sasa kama akili ya mwanaume uwezo wake ni kumwongoza mwanamke mwenye elimu ndogo na asiye na kipato anataka na kudhani kila mwanaume uwezo wake ni huo.

Vijana na wanaume lazima waelewe kuwa wapo wanawake wanauwezo mkubwa wa kiakili, kiuchumi, kimaono kuliko wanaume wengi tuu.

Mfano wapo wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufanya biashara kuliko wanaume.
Kuwa mwanaume haimaanishi unauwezo na akili kubwa kuliko wanawake wote Duniani.

Ndio maana hata darasani kuna wanaume wengi wamekalishwa na wanawake linapokuja swala la elimu na matokeo ya darasani.
 
Wew wasema. Kwaiyo wajua kazi ni kushinda kariakoo tu? Ndo maana mnalalamika wabunge kupiga tu makofi bungen wanakula 18M . Yan unaamin anaefny kaz ni yule asubh ad usiku yupo kariakoo hahah pole mkuu. NOTE, TUMIA AKILI ZAIDI.
 
Lawama ziende kwa wanajamii wote.
SAHIHI KABISA LAWAMA KWA JAMII NZIMA HASA WALEZI.

Kama nitao mimi nimeshajiandaa kuoa feminist yoyote yule maana ndo wanaoshamiri na tushaishi nao sana tu kwenye tahasisi za kitaaluma(wakia kama wa elimisha Rika) na mitahani(waingaikaji wenzetu)

Changamoto zitakazojiri zitatafutiwa ufumbuzi Kama yalivyo mabadiliko ya Dunia katika nyanja zingine ukishindikana utatuzi Kila mtu na 50 zake yasije tokea mauaji n.k
 
Kwa kuongezea

Akila na mke wake Prisila walikuwa wanatengeneza na kuuza mahema

Dorkasi alikuwa mtengenezaji mashuhuri wa nguo na kuziuza

Mleta uzi ndiye anayeharibu wanawake. Wamewafanya wanawake kama walemavu wakati sio kusudi la Mungu iwe hivyo
 
Kwa kuongezea

Akila na mke wake Prisila walikuwa wanatengeneza na kuuza mahema

Dorkasi alikuwa mtengenezaji mashuhuru wa nguo na kuziuza

Mleta uzi ndiye anayeharibu wanawake. Wamewafanya wanawake kama walemavu wakati sio kusudi la Mungu iwe hivyo

Tatizo ni ubinafsi.
Sababu inayotolewa na mtoa mada kuwa wanawake wanasoma ili wasinyanyaswe inadhihirisha tabia mbaya ya udhalimu ya wanaume wengi wajinga.
Wanaume wengi Makatili hujisikia fahari kuwa na Mwanamke ambaye hajitambui ili iwe rahisi kwake kumnyanyasa.

Hawataki Mwanamke afanye kazi ili wawageuze hao wanawake watumwa wao. Ili wao wajigeuze miungu Watu.

Mwanamke ni mtu kamili, anahitaji kuwa huru kama ilivyo kwa mwanaume.
Ingawaje kwenye ndoa kila mmoja uhuru wake utajali heshima ya mwingine ndani ya familia
 
Mke kama anafanya kazi aliyopewa na Mme wake kama kusimamia biashara ya familia,kusimamia mifugo au mashamba ya familia hapo hakuna tatizo.
Lakini zile kazi ambazo mke anakuwa chini ya boss ambaye anasikilizwa na kuheshimiwa kuliko mme hazikubaliki kwa Mwanaume anayetaka kujenga familia imara.
Kwa mtazamo wangu mwanaume anayeoa mwanamke mwenye kipato eti wasaidiane maisha ni mpumbavu au bwege,kama huwezi kuendesha familia kama mwanaume USIOE.
Madume bwege well known as SIMPS na feminists(who i disdain) hawawezi kuelewa.
 
Mkeo akiambiwa na boss wake akafanye kazi mkoa mwingine kwa wiki kadhaa,wewe mwanaume bwege mkeo badala ya kuomba ruhusa yako anakupa taarifa tu kuhusu hiyo safari na utake usitake huwezi kumzuia kwasababu unategemea kipato chake na boss wake anamamlaka juu yake zaidi yako.
This is why I always rejoice on the sufferings of simps and feminists(who are actually two sides of the same coin)
 
Mtoa mada umeishiwa...

Wewe kila siku topics zako ni kuhusu feminist..

Hauna lingine? Wewe to stay relevant humu unaona uongelee feminists..

Janaume zima?! Aibu
 
Ndo maana nikasema tatizo ni kuchukua mwenye malengo makubwa kukuzidi, lazima utamjoin tu mshirikiane kufikia ndoto maana mwenyewe hutaweza kumtimizia ndoto zake.

Ww una mipango ya kuwa mwasibu wa saccos mzuri unaenda kuoa mwanamke mwenye mipango ya kuwa importer na supplier mkubwa wa bidhaa kutoka China na Dubai.

Unategemea kuendesha used rav 4 massawe kwa kuwa ni ngumu na inadumu mkeo anafikiria latest harrier.

Unadhani utaweza kumshawishi kuua ndoto zake ili ashuke level yako? Utajikuta ww ndo unataka kumfata huko anapowaza na ndo kushirikiana kunapotokea.

NB: Assumption ni kuwa mkeo anakupenda sio kama yule msanii aliyekimbia mume awe mchungaji.
 
Ndio.
" Eti mke wangu ameajiriwa hukooo ili tusaidiane maisha" una akili wewe?
Mke wako kila dakika anachezewa makalio na wahuni.
Kama umekubali mke wako aajiriwe kuchezewa kisimi ofisini hilo ni unkwepabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…