Wasije wakakudanganya hawa Vijana wasiojiamini na wenye mawazo ya kijinga.
Wake wa mitume na wenye majina makubwa wote hakuna hata mmoja aliyekuwa mama wa nyumbani wa kukaa tuu wote walikuwa wanafanya kazi.
Nabii Musa, Mkewe alikuwa anachunga ng'ombe za Babaake. Na walikutana na Musa Wakati Sipora akiwa machungani.
Mtume Muhamad, mkewe Bi. Khadija alikuwa mfanyabiashara mkubwa na anapesa nyingi kuliko Muhamad mwenyewe.
Nabii Isaka, mkewe alikuwa mchungaji wa ng'ombe, Rebecca
Adamu, mkewe Eva alikuwa Mkulima.