Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

Wao wanapesa sisi tuna mungu watashindwa tu na mbinu zao chafu...
 
Reactions: Ame
Wataeneza kila aina ya uongo --akini siku ikifika nyani ataona kila mti unateleza. Watakosa pa kushikia.
 
They know they are dying too fast than they ever thought.God bless M4C
 
Hapo juu sio kuwa wameshindwa tu kueneza propaganda za udini, ukabila na ukanda lakini pia kadri walivyokuwa wanaeneza propaganda ndio jinsi walivyo kuwa wanashindwa kutawala na kucheza mziki wa ma kamanda.
 
wanao pia mpango wa kujaza mamluki ndani ya chama ambao kazi yao ni kuvuruga utulivu
 

kweli muuaji ni muuaji tu, yaani walioua ni serikali ya ccm halafu huyu mpuuzi anawatwisha CDM lawama. halafu hao wazazi anaowaambia ni wa wapi?? mbona wazazi wenyewe ndo wanaunga mkono maandamano. hawa wauaji ccm wajue damu ya mtu haipotei hivi hivi. lazima watailipa tena kwa gharama kubwa, acha wajidanganye, walidhani watanzania ni walewale wa kuwadanganyia t-shirt za njano?? hawa jamaa wamechanganyikiwa, walidhani watanzania hawatashituka. WATANZANIA TUMESHITUKA, ccm ONDOKENI!!!!!!


Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
 
Chadema , chadema peoples pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wangekuja arusha waone tunavyopewa moyo na wazazi kuhudhuria ktk mikutano.CCM chama cha ukoo...eti JANUARY MAKAMBA,NAPE NNAUYE,WILIAM MALECELA,ABDUL KAGASHEKI,HUSEIN MWINYI,ALLY KARUME,RIDHIWAN KIKWETU,SIOI SUMARY,FRED LOWASSA,JOHN MONGELA....
 

Wataweweseka sana. "ni ndoto tuu"
 
wanao pia mpango wa kujaza mamluki ndani ya chama ambao kazi yao ni kuvuruga utulivu

Mkuu mpango huo upo siku nyingi na mmoja wao ni Shibuda, ila makamanda wa ukweli wameamua kuwapotezea kimtindo.
 

hivi wassira anae watukana kila siku chadema alianzia chadema au ni wasira mwingine?
 
Hili linajulikana na ndiyo uhalisia kuwa, CCM inaelekea kufa! Labda mtu asiye na uwezo wa kupembua ndo atakuwa anabisha. Wanajisumbua kuja na CD zilipendwa ili wapate sympathy ya wananchi. Wananchi wamwachoka mbaya!
 
Kumbe hata huyu Bw. wa usingizi aka Wassira naye ni miongoni mwa waasisi!!! System at Work.
 
hapo juu sio kuwa wameshindwa tu kueneza propaganda za udini, ukabila na ukanda lakini pia kadri walivyokuwa wanaeneza propaganda ndio jinsi walivyo kuwa wanashindwa kutawala na kucheza mziki wa ma kamanda.

ninachokiona kadiri wanavyozidisha propaganda ndivyo wanavyoiongezea chadema airtime hivyo kuendelea kuitangaza
hivyo furahini kwasababu waenezi wa chama wameongezeka
 
wangekuja arusha waone tunavyopewa moyo na wazazi kuhudhuria ktk mikutano.ccm chama cha ukoo...eti january makamba,nape nnauye,wiliam malecela,abdul kagasheki,husein mwinyi,ally karume,ridhiwan kikwetu,sioi sumary,fred lowassa,john mongela....

adam malima,vita kawawa,lawrance masha
 
Mkuu mbona hilo linajulikana toka kitambo tu, hawana CD yoyote wanatapatapa tu
CCM Ndo wametuchezea sana watu wa Shinyanga tangu zamani hawakutaka Raisi au waziri atoke katika Mkoa wetu sasa tumechangamka,ni Chadema kwa kwenda mbele tumeanza na majimbo 4,Maswa mashariki,Maswa magharibi,Kishapu na Meatu,Mwaka 2015 Tutamalizia na Bariadi Mash.na Magharibi,Kahama,Solwa kwa Nchambi,na tutamalizia Busega hapo Ramadi,CCM na SHIRECU walitunyonya wakachelewesha maendeleo yetu sasa ni wakati wa kuwacharaza bakora ndani ya sanduku la kura hapo 2015. Hatudanganyiki kabisa mwaka huu chini ya kampuni tapeli la unuzi wa pamba wameshusha bei ya pamba kutoka 1300 mwaka 2011 hadi 650 mwaka huu 2012 yaani inflation kwa 50% J.K. naye tunasikia anahisa katika kampuni hilo tapeli la ununuzi wa pamba Bariadi,hawa jamaa ni wanyonyaji kweli kweli watusainisha eti kilimo cha mkataba wa pamba lakini bei ya pamba haiko katika mkataba. Huu ni wizi wa mchana kweupe wa CCM na vibaraka wake. Mtatunyoya hadi lini sasa tumeamka ni adhabu kwa CCM ndani ya masanduku ya ballot,However sisi ni maskini hatuwezi kushindana na mafisadi wa CCM ambao katu hatutaki waguse Bariadi kuomba kura 2015 kwani hata bungeni Mheshimiwa Loud na makamu na wabunge wengine wa CCM walikataa na kushindwa kuishinikiza serikali ya chama cha CCM ituwekee ruzuku katika bei ya pamba ili inflation isituathiri,wameshindwa kututetea na sisi tunaapa hakya mungu na haki ya mababu wetu wote na mizimu yote ya usukumani,Shinyanga na Simiyu lazima tuwakomoe kwa kuwanyima kura 2015 na walaaniwe milele CCM na mafisadi wake,hata wabunge wetu mafisadi wa unyantuzuni wameshindwa kutusaidia,kutusemea,na pesa zao hatuzitaki najua watakuja kujaribu kutuhonga nyama na wali na chumvi ili tuwachakue katu hatutakubali pamoja na umaskini wetu,lazima tuwaonyeshe nguvu ya Umma wataitambua 2015. Kaeni chonjo wazee wenye vipara............................................................................................................................................................
 
Ndugu zangu

Kamwe sitachoka kuwaelimisha vijana wenzangu hapa jukwaani9

Leo mimi kama kiongozi wa zamani wa chadema na muasisi mkuu wa Chadema UK nakuletea sababu tatu kuu za kuiogopa chadema

No 1. Chadema ni wakabila na wabaguzi sana, mfano mzuri ni ishu ya lwakatare kutibiwa third class wakati Nassari aliejigonga pua kutibiwa first class


No 2 . ni wadini

Mimi nikiwa kiongozi wa Chadema UK wakati huo nililazimishwa na Lema kuweka mkutano wa Chadema Bar bila kujali kuwa wenzetu waisilamu walikuwa wamefunga hivyo wasingeweza kuja bar kuhudhuria mkutano lakini pamoja na ushauri wote Lema alisema tuachane nao waisilamu kwani hawahitajiki chadema



Matapeli

Wakati mnahangaika kuchangia M4C wao wanatumia hizo hela kwenda holiday ulaya wakati wanashindwa kutoa matibabu kwa makamanda wa juu kama lwakatare kisa eti hajatoka kaskazini
Dr Slaa kajikopesha mamilioni wakati makamanda kibao wana njaa kali hawasaidiwi zaidi ya kupewa viroba viwavuruge akili


JITAMBUE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…